Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 3,713
- 11,612
Weka na mishahara ya polisi, wanaoipambania mboga mboga
Safari ruzuku hakuna atakimbia ofisi huyo!Ndio maana ccm wanasema cdm ni chama kidogo. Yaani katibu mkuu wa chama kinachohujumiwa na dola analipwa kidogo hivyo?
Bodaboda wa ccm hawatakiwi kwenye hiyo kesi.Wale bodaboda +Wajasiliamali wamegoma kuandamana, una maoni gani???
Wale mbona ni wastaafu? Kuna boda wa vile? Scrpt imekosewa probably classmates wa wasiraWale bodaboda +Wajasiliamali wamegoma kuandamana, una maoni gani???
Una kichwa kizito kama cha WASSIRA na Samia ... Ng'ombe wwe!.mwambieni heche aende vatican msibani wakuu wote wa umoja wa ulaya watakuwa pale
Kuna wtz wajinga kama kundi la ccm😂😂Watanzania sio wajinga, waende kuandamana kwa sababu za wanasiasa mamluki.
Cdm hailazimishi mtu kuandamana😃😃 cha ajabu sisiem mnazuia waandamaji Ili hali wasiotaka kuandamana hawalazimishwi!. Hamjioni mlivyo wajinga nyie ng'ombe wa samia!.Wale bodaboda +Wajasiliamali wamegoma kuandamana, una maoni gani???
Lissu na genge la mamluki wenzie unadhani Watanzania ni wajinga.?Kuna wtz wajinga kama kundi la ccm😂😂
Upupu mtupu1. Mshahara 7m TZS/mwezi.
2. Usafiri/Gari SUV (4WD) na posho ya mafuta.
3. Kutumia VIP Lounge akiwa airport.
**Sasa jichanganye bodaboda eti unaenda kwenye kesi ya Lissu wakati wenzao wapo karibu mshahara unasoma
Kusikiliza kesi ni kuvunja sheria?; kweli hii Nchi sasa inaongozwa na mapete1. Mshahara 7m TZS/mwezi.
2. Usafiri/Gari SUV (4WD) na posho ya mafuta.
3. Kutumia VIP Lounge akiwa airport.
**Sasa jichanganye bodaboda eti unaenda kwenye kesi ya Lissu wakati wenzao wapo karibu mshahara unasoma
Kuna mshahara ambao mtu yupo tayari kufa ?!!!mshahara kiduchu, yaani ni mshahara wa intern bank au mgodini, kha ndo ukotayari kufa?
Huo mshahara ulitokana na sharti la Padri Slaa alipoambiwa aache ubunge agombee urais. Akasema akikosa uRais alipwe 7m kwa mwezi.1. Mshahara 7m TZS/mwezi.
2. Usafiri/Gari SUV (4WD) na posho ya mafuta.
3. Kutumia VIP Lounge akiwa airport.
**Sasa jichanganye bodaboda eti unaenda kwenye kesi ya Lissu wakati wenzao wapo karibu mshahara unasoma
Kwenda kwenye kesi kosa liko wapi? Mnaogopa kesi mliyoifungua wenyewe? Mnaogopa uchaguzi huru? Mnaogopa wananchi mnaosema wanawakubali? Mmetawala miaka zaidi ya 60 hamjiamini kipi mnachokiweza sasa?Mnajaza watu hofu tu1. Mshahara 7m TZS/mwezi.
2. Usafiri/Gari SUV (4WD) na posho ya mafuta.
3. Kutumia VIP Lounge akiwa airport.
**Sasa jichanganye bodaboda eti unaenda kwenye kesi ya Lissu wakati wenzao wapo karibu mshahara unasoma
1. Mshahara 7m TZS/mwezi.
2. Usafiri/Gari SUV (4WD) na posho ya mafuta.
3. Kutumia VIP Lounge akiwa airport.
**Sasa jichanganye bodaboda eti unaenda kwenye kesi ya Lissu wakati wenzao wapo karibu mshahara unasoma
Ndiyo maana mavijana ya CCM wanapigwa kelebu na vibinti.Tatizo ccm ni majizi, watu wamechoka kuona majizi yanatamba Kila Kona mpaka vyombo vya habari vingi vinatekwa na majizi. Yaani wanaiba maboksi ya kura, wanadhurumu walioshinda kwa haki, wakiwa serikalini wanaiba fedha za walipa Kodi, wanajimilikisha fedha utadhani hizo fedha wanatoa kwa baba zao na mama zao!.... Kumbe zetu wanatukamua Kodi na kukutusi juu..
Wandewa wamesema saizi ni "NO Reforms;No election". Wakinuna wale malimao😂. Mkiwafunga wote, watainuka mapadre na maaskofu watasema, watakuja wananchi wenyewe kumalizia yaani kufunga dimba.
CCM imetengeneza vijana wa hovyo sanaVijana wa ccm ni Wajinga sana
Ukiwa unaandika utoe mavi kichwani. Hawa wanao kuambia ukapige kura nao lete maslahi yao na lete na ubadhirifu wao na pension zao. Traassh1. Mshahara 7m TZS/mwezi (take home).
2. Usafiri/Gari SUV (4WD), dereva na posho ya mafuta.
3. Kutumia VIP Lounge akiwa airport.
**Sasa jichanganye bodaboda eti unaenda kwenye kesi ya Lissu wakati wenzako mshahara unasoma