Maslahi ya Katibu Mkuu CHADEMA

Maslahi ya Katibu Mkuu CHADEMA

and 998 others

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2012
Posts
27,921
Reaction score
39,103
Katibu Mkuu CHADEMA anastahili zifuatazo kwa Cheo chake,

1. Mshahara 7m TZS/mwezi (take home).
2. Usafiri/Gari SUV (4WD), dereva na posho ya mafuta.
3. Kutumia VIP Lounge akiwa airport.
4. Posho za safari nje na ndani ya nchi.

**Sasa jichanganye bodaboda eti unaenda kwenye kesi ya Lissu wakati wenzako mshahara unasoma
 
Tatizo ccm ni majizi, watu wamechoka kuona majizi yanatamba Kila Kona mpaka vyombo vya habari vingi vinatekwa na majizi. Yaani wanaiba maboksi ya kura, wanadhurumu walioshinda kwa haki, wakiwa serikalini wanaiba fedha za walipa Kodi, wanajimilikisha fedha utadhani hizo fedha wanatoa kwa baba zao na mama zao!.... Kumbe zetu wanatukamua Kodi na kukutusi juu..

Wandewa wamesema saizi ni "NO Reforms;No election". Wakinuna wale malimao😂. Mkiwafunga wote, watainuka mapadre na maaskofu watasema, watakuja wananchi wenyewe kumalizia yaani kufunga dimba.
 
1. Mshahara 7m TZS/mwezi.
2. Usafiri/Gari SUV (4WD) na posho ya mafuta.
3. Kutumia VIP Lounge akiwa airport.

**Sasa jichanganye bodaboda eti unaenda kwenye kesi ya Lissu wakati wenzao wapo karibu mshahara unasoma
Amani ya Tanzania itatoweshwa na viongozi wa serikali ya CCM kwa kuwabambikia kesi watu wasio na hatia, na kulitumia vibaya jeshi la Polisi kuumiza raia na kuwaua.
 
1. Mshahara 7m TZS/mwezi.
2. Usafiri/Gari SUV (4WD) na posho ya mafuta.
3. Kutumia VIP Lounge akiwa airport.

**Sasa jichanganye bodaboda eti unaenda kwenye kesi ya Lissu wakati wenzao wapo karibu mshahara unasoma
Wale mnaowasomba kwenye ziara za Samia, huwa anawagaia mishahara yake?
 
1. Mshahara 7m TZS/mwezi.
2. Usafiri/Gari SUV (4WD) na posho ya mafuta.
3. Kutumia VIP Lounge akiwa airport.

**Sasa jichanganye bodaboda eti unaenda kwenye kesi ya Lissu wakati wenzao wapo karibu mshahara unasoma
Akili yako iko hapo nyuma kwako.
 
1. Mshahara 7m TZS/mwezi.
2. Usafiri/Gari SUV (4WD) na posho ya mafuta.
3. Kutumia VIP Lounge akiwa airport.

**Sasa jichanganye bodaboda eti unaenda kwenye kesi ya Lissu wakati wenzao wapo karibu mshahara unasoma
Weka wa katibu ,kaimu mwenyekiti ,mwenezi wa mboga mboga.
 
Hii nchi wenye vichwa namna hii huwa sioni Kama ni raia Kama raia wengine wa nchi. Hapa mtu anatetea maslahi yake ila anatingisha ya mwingine.
Kuna mtu ana maslahi kuzidi mkuu wa nchi mbona huwa tunajipanga huku road na pikipiki zetu?
 
Hizi kazi ni za kujitolea / calling / itikadi, hata bure watu wanaweza kufanya, na mtu hata kulipwa au asipolipwa anaweza kwenda kushiriki kile anachokiona kwake ni sahihi..,., Tatizo ni tunapoanza kulazimishana au kukatazana au kunyosheana vidole kwanini niende au nisiende; Makes me wonder what kind of democracy is this (on both sides)...

By the way if indeed mtu anaamini kwamba kuna changes (which is hard kutokana na ukasongo wa wanasiasa siku hizi) basi yupo radhi aweze kwenda huenda na yeye atapata ujira ambao unapatikana bila ya yeye kufanya kazi hatarini (after all the status quo wameshindwa kufanya hivyo) kwahio hata wasiokwenda sio kwamba wanafurahi kinachoendelea bali hawajapata uhakika na mbadala....
 
mshahara kiduchu, yaani ni mshahara wa intern bank au mgodini, kha ndo ukotayari kufa?
 
Back
Top Bottom