maskiniiii kazi kwishney

maskiniiii kazi kwishney

Joeli

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2011
Posts
4,941
Reaction score
3,414
kuanzia tarehe 31.12.2012 tunahamia dijitali jumla jumla, huyu jamaa na wenzie sijui wataweza kutngeneza vitu vya dijitali?
546257_10200336716206871_685133228_n.jpg
 
Mkuu kazi ya huyu jamaa itaaendelea tena sana.

Achana na hizi propaganda za TCRA ambazo hazifiki popote.
Wanazungumzia Digital wakati raia hawajui chochote, raia wao wanataka matangazo ya runinga na sio blah blah.

*Kwa mfano, juzi nikiwa Dar maeneo fulani, nikabidi ninunue King'amuzi cha Startime ili nipate matangazo ya digital, nimefika kwangu nikakiweka ili nitumie lakini sikufanikiwa kuona kitu chochote, jirani yangu akaniambia niunganishe pamoja na Antenna(Tube Lights), tahamaki ndio matangazo nikapata!!

Digital hapa Bongo bado sana.
 
hiyo ilikuwa nguvu ya soda mbona zoezi lenyewe limehairishwa kwa mikoa yote isipokuwa mkoa wa Dar es salaam
 
Kazi bado atapata... ving'amuzi vyenyewe mpaka uunge antena kubwaa... hakuna loloteee... digital money makers tu... japokuwa kidogoo naweza sema ni step ahead
 
kuanzia tarehe 31.12.2012 tunahamia dijitali jumla jumla, huyu jamaa na wenzie sijui wataweza kutngeneza vitu vya dijitali?
546257_10200336716206871_685133228_n.jpg

Zitatumika kwenye redio.
 
Wanakurupuka ndo walewale walofuta somo la agriculture halafu et oo kilimo kwanza.Mwngne akakurupuka et physics ichanganywe na chemistry yani nynyem hasara 2pu
 
nachompendea mswahili tutakuja sikia tu kuna kakitu ukiweka kwenye media com zetu zinnashika digital
 
  • Thanks
Reactions: awp
wabongo walivo wabunifu watabuni njia mbadala waone channel tofauti....:screwy::banghead:😛😛
 
mbona mchina keshafanya tayari, nasikia kuna waya unaozwa buku 5 ukichomeka waweza ona chanel bila kulipia mdogomdgo tutafika tuu. chezea bongo land weeeeee
 
Kuna tofauti ya antena za kupokea dijitali na analoji?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom