Maskini watoto wetu wa kiume

Maskini watoto wetu wa kiume

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,456
Reaction score
872,092
View attachment 183490
1410082116102.jpg
 
mkuu nikitukana nitakuwa na kosa kweli ?
 
We Kigogo kuja pande hii, Mshana jr kaweka picha yako. kweli Kigogo umeumbika hata ukipita anga zangu sikuachiii lazima nikulambishe shekel.

Kweli nimeumbika kama watoto wa madrasa pale mtambani
 
Last edited by a moderator:
mkuu nikitukana nitakuwa na kosa kweli ?

MO11 nachukua nafasi hii kuomba radhi sikujua unamaanisha nini hope umenielewa! nilidhani unaomba ruhusa ya kunitukana mimi ucjali nimekusoma
 
Last edited by a moderator:
MO11 nachukua nafasi hii kuomba radhi sikujua unamaanisha nini hope umenielewa! nilidhani unaomba ruhusa ya kunitukana mimi ucjali nimekusoma

sawa mkuu
 
Last edited by a moderator:
Hizi ziitwazo 'haki za binadamu',basi tu.Unaweza toa adhabu ya viboko vya shingo 5*4.
 
Sio mambo ya Adobe Photoshop hayo?
Sithani kama ni photoshop sababu kichwa na kiwiliwili vyote ni vya kiume,makalio kuna wanaume wengine(ambao hawana tabia za kijinga) wameimbika hivo
 
Back
Top Bottom