Maskini vijana wa CCM mitandaoni, utawahurumia

MAHANJU

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2014
Posts
5,255
Reaction score
8,027
Yaani wamejikita kuishambulia CHADEMA na Lowassa wao kwa yaliyotokea Kenya, vijana wa watu hawaelewi kua haki inayotolewa na mahakama za Kenya haipo Tanzania. Hawa vijana hawajui kabisa leo hii Raila Odinga angekua nchini mwetu hiyo haki asingeipata.

Sijui hawa vijana wana matatizo gani! Labda nieleweshwe vizuri nami nifahamu, tatizo ni elimu? Uelewa wa nmna ya kung'amua mambo? Wamekaririshwa? maisha magumu? Ningeomba watitokeze tu humu humu waseme tu wao wenyewe. Vinginevyo kama ndio mawazo yao haya, tusitegemee uhai wa CCM kabisa siku za usoni.Is this a CCM upcoming new generation?

Badala ya wao kumshauri mwenyekiti wao wa chama taifa wakae waone namna ya kubadilisha katiba ya nchi hivi sasa ili siku moja haki itendeke kwetu kama Kenya badala yake Wamejikita kuishambulia CHADEMA na Lowassa wao, mashsbulizi haya yana madhara gani kwa CHADEMA? Yana faida gani upande wa CCM?

Bado uchaguzi wa Kenya umeamriwa kurudiwa kwa muda wa Siku 60, Je,akishinda tena Uhuru Kenyatta ikiwa bado CHADEMA watendelea kuwaunga mkono muungano wa Jubilee itakuwaje? Bado wataachana na ajenda za kitaifa na kubaki kushambuliana na CHADEMA?

Ni aibu na fedhera kwa kwa vijana wanaoitwa vijana wa Chama tawala kuhangaika mambo ya ajabu ajabu wakiachana na mambo ya muhimu na majukumu waliyonayo. Au wengine hawa wengine ni wafuasi tuu lakini sio wanachama wa CCM ndio maana hawaelewi watendayo?

Kwa fikra hizi, Mwanadishi na Wakili msomi Jenerali Ulimwengu amesema itatuchukua miaka 40 kuyafikia maendeleo ya nchi ya Kenya iwe kisiasa,kielimu,kiuchumu na hata kijamii.
 
Ukawa: Tanzania hakuna Demokrasia, si unaona Wakenya wamefuta matokeo ya Urais,Haijawahi kutokea Afrika nzima...
1f44d.png
Mzalendo: Afrika? Mbona hata hapa Tanzania matokeo ya Urais yameshafutwa na Jecha kule Zanzibar kama yalivyofutwa na Maraga kule Kenya
1f918.png
Ukawa: Matokeo Tanzania yakifutwa ni kwa maagizo toka juu na sio Mahakamani
1f44d.png
Mzalendo: Hata Yale ya Jana ya Ubunge wa Longido ni maamuzi toka juu? Au ni maamuzi toka Mahakamani?
1f918.png
Ukawa: Kwanza Mahakama zetu hazipo huru, ni kupendeleana tu.
1f44d.png
Mzalendo: Unataka kusema hata ile kesi ya Bulaya wa Chadema kumshinda Wasira wa CCM Ubunge wa Bunda ilijaa upendeleo? Mahakama haikuwa huru kuamua?
Ukawa: Basi yaishe mi ni NYUMBU wa Mbowe napiga vuvuzera na kuongea nisiyoyajua nimekumbuka hata Lijualikali na Suzan Kiwanga walishinda ubunge wao na mahakama ikabariki
1f6b6_200d_2642.png
 
Mbona nyie mliushangilia ushindi wa Kenyatta Na kuanza kuwananga Odinga Na Magufuli? Leo hii uchaguzi umetenguliwa mnashangilia tena
Demokrasia ikitamalaki ni ushindi kwetu, utawala wa sheria ukijidhihiri ni shangwe kwetu, uhuru wa mahakama unaposhuhudiwa ni cherekochereko kwetu.

Heko mahakama.

Heko serikali.

Heko Uhuru kenyata.

Ingekuwa ni ccm, mwenyekiti angesema "msinipangie cha kufanya" manake limhili langu limejichimbia chini zaidi.
 
Ukiwa shabiki wa kisiasa yakupasa uwe na akili japo kidogo ili kupambanua mambo sio kufuata tu mkumbo kama kondoo.
 
Demokrasia ikitamalaki ni ushindi kwetu, utawala wa sheria ukijidhihiri ni shangwe kwetu, uhuru wa mahakama unaposhuhudiwa ni cherekochereko kwetu.

Heko mahakama.

Heko serikali.

Heko Uhuru kenyata.

Ingekuwa ni ccm, mwenyekiti angesema "msinipangie cha kufanya" manake limhili langu limejichimbia chini zaidi.
Esther Bulaya alishinda kesi ya ubunge wake hapo juzi. Unasemaje kwa Hilo?
 
Yaani wamejikita kuishambulia CHADEMA na Lowassa wao kwa yaliyotokea Kenya, vijana wa watu hawaelewi kua haki inayotolewa na mahakama za Kenya haipo Tanzania. Hawa vijana hawajui kabisa leo hii Raila Odinga angekua nchini mwetu hiyo haki asingeipata.

Sijui hawa vijana wana matatizo gani! Labda nieleweshwe vizuri nami nifahamu, tatizo ni elimu? Uelewa wa nmna ya kung'amua mambo? Wamekaririshwa? maisha magumu? Ningeomba watitokeze tu humu humu waseme tu wao wenyewe. Vinginevyo kama ndio mawazo yao haya, tusitegemee uhai wa CCM kabisa siku za usoni.Is this a CCM upcoming new generation?

Badala ya wao kumshauri mwenyekiti wao wa chama taifa wakae waone namna ya kubadilisha katiba ya nchi hivi sasa ili siku moja haki itendeke kwetu kama Kenya badala yake Wamejikita kuishambulia CHADEMA na Lowassa wao, mashsbulizi haya yana madhara gani kwa CHADEMA? Yana faida gani upande wa CCM?

Bado uchaguzi wa Kenya umeamriwa kurudiwa kwa muda wa Siku 60, Je,akishinda tena Uhuru Kenyatta ikiwa bado CHADEMA watendelea kuwaunga mkono muungano wa Jubilee itakuwaje? Bado wataachana na ajenda za kitaifa na kubaki kushambuliana na CHADEMA?

Ni aibu na fedhera kwa kwa vijana wanaoitwa vijana wa Chama tawala kuhangaika mambo ya ajabu ajabu wakiachana na mambo ya muhimu na majukumu waliyonayo. Au wengine hawa wengine ni wafuasi tuu lakini sio wanachama wa CCM ndio maana hawaelewi watendayo?

Kwa fikra hizi, Mwanadishi na Wakili msomi Jenerali Ulimwengu amesema itatuchukua miaka 40 kuyafikia maendeleo ya nchi ya Kenya iwe kisiasa,kielimu,kiuchumu na hata kijamii.
IMG-20170902-WA0005.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
.

Kwa hiyo unawahakikishia umma kuwa ushindi wa Uhuru ulikuwa feki. Sasa nyie 'vijana wajanja' wa CHADEMA mlikuwa mnapongeza 'wizi' wenu au kitu gani hasa? Y"Ukila nyama ya mtu huwezi kuacha" mmezoea kubadili gia angani, simamieni maneno yenu mliyosema kuhusu ushindi wa Uhuru na Raila mara baada ya kutangazwa na ushindi.
 
nilitegemea chadema kupinga maamuzi ya mahakama ya kenya kwani waliamini kuwa ushindi wa uhuru ulikuwa wa haki.
 
najutia muda wangu mwingi nilioupoteza kuwa mshabiki wa CCM. naomba sana Chadema mnisamehe kwa kuwakosea watanzania
Kaka chama hakibadili maendeleo, bali fikra huleta mabadiliko ya maendeleo. Good lkn fikiria kwa mara nyingine ,tatizo letu mfumo wa elimu ulipo nchin umeshindwa kubadilisha au kuleta mabadiliko kwa mtz, kwamaana angalia maprofesa wetu na darasa la saba leaver kwenye hoja utagundua hakuna tofauti kwenye maamuzi, .
Hongera Livingstone, Majimarefu na Msukuma nimewaangalia hoja zao zinamashiko kuliko haya maprofesa wetu wengi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani wamejikita kuishambulia CHADEMA na Lowassa wao kwa yaliyotokea Kenya, vijana wa watu hawaelewi kua haki inayotolewa na mahakama za Kenya haipo Tanzania. Hawa vijana hawajui kabisa leo hii Raila Odinga angekua nchini mwetu hiyo haki asingeipata.

Sijui hawa vijana wana matatizo gani! Labda nieleweshwe vizuri nami nifahamu, tatizo ni elimu? Uelewa wa nmna ya kung'amua mambo? Wamekaririshwa? maisha magumu? Ningeomba watitokeze tu humu humu waseme tu wao wenyewe. Vinginevyo kama ndio mawazo yao haya, tusitegemee uhai wa CCM kabisa siku za usoni.Is this a CCM upcoming new generation?

Badala ya wao kumshauri mwenyekiti wao wa chama taifa wakae waone namna ya kubadilisha katiba ya nchi hivi sasa ili siku moja haki itendeke kwetu kama Kenya badala yake Wamejikita kuishambulia CHADEMA na Lowassa wao, mashsbulizi haya yana madhara gani kwa CHADEMA? Yana faida gani upande wa CCM?

Bado uchaguzi wa Kenya umeamriwa kurudiwa kwa muda wa Siku 60, Je,akishinda tena Uhuru Kenyatta ikiwa bado CHADEMA watendelea kuwaunga mkono muungano wa Jubilee itakuwaje? Bado wataachana na ajenda za kitaifa na kubaki kushambuliana na CHADEMA?

Ni aibu na fedhera kwa kwa vijana wanaoitwa vijana wa Chama tawala kuhangaika mambo ya ajabu ajabu wakiachana na mambo ya muhimu na majukumu waliyonayo. Au wengine hawa wengine ni wafuasi tuu lakini sio wanachama wa CCM ndio maana hawaelewi watendayo?

Kwa fikra hizi, Mwanadishi na Wakili msomi Jenerali Ulimwengu amesema itatuchukua miaka 40 kuyafikia maendeleo ya nchi ya Kenya iwe kisiasa,kielimu,kiuchumu na hata kijamii.
Nchi ya wajinga na wapumbavu. Unadhani wajinga na wapumbavu ni akina nàni? Ni Ccm na Uvccm.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom