Maskini Tanzania!

Tafiti nyingi zinaripoti kuwa wanaoiunga ccm mkono ni wajinga na watu waliojikatia tamaa..!!
ok hii ndio mazingaombwe na ghiliba za wakawa tumezishinda.... itikadi za ulafi ubinadi uliokithiri. sisi tunaoiunga mkono ccm/magufuli hatuhitaji kua fisi au nyang'au ili kupata maendeleo. hatutaki kuongozwa na watu fisad.
 
Watanzania sio wajinga kama ulivyofikiria...!! Hatuwezi kumpa fisi atawale nchi..!! Mpaka upinzani utakapokua upinzani kweli na sio timu ya wasakatumbu ndo tutawachagua upinzani...:hand:
 
Nimependa post yako lakini hao waliowekwa kugombea nafasi za juu hawawezi kamwe kuibadili Tanzania watu wanaelewa kaka so hapo ukawa walibugi
 
Watanzania sio wajinga kama ulivyofikiria...!! Hatuwezi kumpa fisi atawale nchi..!! Mpaka upinzani utakapokua upinzani kweli na sio timu ya wasakatumbu ndo tutawachagua upinzani...:hand:

Uko sahihi sana sana sana sana sana sana
 
Tulieni ukawa dawa iwaingie vizuri. Lazima vidole 2 juu lazima vikatwe bila ganzi
 

Kaka UMEMALIZA. Mijitu mingine eti ilidhani Lowassa ataleta mabadiliko! Aanze yeye Lowassa kujibadilisha, mtu amechoka amefubaa eti ndio awe rais! Akawe rais wa watu wanaojinyea huko.

Wanywa viroba, WaTanzania wamewakataa. Ikulu imegoma kuwa hospitali.
 
.............ila nafurahi kuona umepokonyoka toka kwenye mikono ya walanguzi ambao walikuwa na uchu wa kukupeleka mnadani huku wakitokwa na udenda wa tamaa ya fedha ambayo wangepiga baada ya kumpata mnunuzi toka ughaibuni! MUNGU akulinde Ooh Mama Tanzania!!!!!
 
Watanzania hawataki mabadiriko labda
 
tuombe uhai tu hapa watz bado sana,wanaamini ktk mtu na sio taasisi
 
nchi ina laana labda wanasubiri Rwanda ikianza kuwekeza hapa tanzania kama kenya inavyowekeza hapa ndo watu watastuka
 
Sasa nimepata picha kwanini vituo vya polisi vinapovamiwa wananchi wanafurahia na hakuna anayehuzunika
 
Tanganyika ujanja wetu kubishana vijiweni na jf.
Nani kakwambia na kukuaminisha kwamba kujitambua ni kuchoma moto mazuri yaliyofanywa na waasisi wa nchi yetu!!! Stop living in the past!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…