Maskini Sweetlady

Nipo kwenye mchakato kuhakikisha mke wangu anakuwa huru.

Mwaaaaaaa

Mwaaaaaaaa

Mwaaaaaaaaa

Hakuna kinachoshindikana mbele ya pesa..... Thanks husband kwa kumwaga mihela kwa Paw.....mkeo sahizi niko huruuu.... Wenye wivu wajinyonge.....kamba za kujinyongea wachukue kwa Lily Flower
 
Last edited by a moderator:
Mwaaaaaaa

Mwaaaaaaaa

Mwaaaaaaaaa

Hakuna kinachoshindikana mbele ya pesa..... Thanks husband kwa kumwaga mihela kwa Paw.....mkeo sahizi niko huruuu.... Wenye wivu wajinyonge.....kamba za kujinyongea wachukue kwa Lily Flower

Wenye chuki nawe wataangamia.
 
Last edited by a moderator:
KITENDO alichokifanya hadharani pale Lenana Jumamosi, mbele ya ugeni kinastahili ban kabisa!!
Mimi ni mmoja wa waasisi wa hii ban ya sweetlady...naamini akiwa nje tutasaidika sana!
Tena mwezi mmoja naona kama kidogo, ilitakiwa mwezi na siku mbili!

Hahahahaha..... Nikikukamata , umechoka kuona kucha na meno yako eeh.... We subiri
 
Last edited by a moderator:
Acha wivu Mkuu! Kunisalimia kwa busu la kumbatio ndio umsababishie adhabu kubwa hivyo! lazima niandamane!

Yaani PakaJimmy ana wivu kama wale walolipua kanisa jana..... Hapendi kuniona nikicheka uraiani.... Ye muache dawa yake ipo jikoni , atainywa siku sio nyingi
 
Last edited by a moderator:
sIKUBALIANI NA HUU UTARATIBU ULIOTUMIKA...
Hivi kuna mtu ana namba ya Maxence?
 
Rest In Server sweetlady...ungenitafuta jana wala yasingekupata yaliyokupata.

In the serious note nimeshtushwa sana na taarifa hizi. You shall overcome. Ngoja niangalie kama naweza kuufungua huo mnyororo uliokufunga.


Arushaone mwenzio nilikuwa busy jana najitolea damu kuokoa majeruhi .... Copy Crashwise na Mungi
 
Last edited by a moderator:
sIKUBALIANI NA HUU UTARATIBU ULIOTUMIKA...
Hivi kuna mtu ana namba ya Maxence?

Hahahahahaha..... Utakufa nacho kijiba cha roho lol..... Niko nje napeta sasa! Nna hasira zako uje uzichukue baadae
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…