maskini sosoliso !!!!!tulikuonya kuhusu paloma

hahahhaaa Nivea..................bado unamtaka sosoliso wangu?!!?
sema tu maana.................utamu wa mume muwe wanne!!!
hahahah lakini mbona umemfanyia hivyo mwenzio paloma so offensive mie sosoliso wako wala simtaki sasa hivi ni kaka yangu wa damu ndio maana imeniuma
 
Last edited by a moderator:
kabisa honey mimi ni wewe na wewe ni mimi katu nafsi zetu haziwezi dhuriana!!
Arushaone kaka yangu kagua kitanda vizuri nilishamsikia huyo Lady doctor akimwambia mtu humu kuwa yeye chini ya kitanda hakosi panga lililonolewa waweza likosa jiwe la Paloma ukaambulia panga
 
Last edited by a moderator:
Arushaone kaka yangu kagua kitanda vizuri nilishamsikia huyo Lady doctor akimwambia mtu humu kuwa yeye chini ya kitanda hakosi panga lililonolewa waweza likosa jiwe la Paloma ukaambulia panga

hahahaa.... Nivea ningekuwa nalala na Bishanga panga chini ya godoro linge husu lakini kwa huyu mbaba Arushaone mie ndio nimeshajidedia na yeye ndio kaoza kabisaa hizo silaha chumbani kwetu hakunaga!!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…