Maskini Saudari wa watu

Maskini Saudari wa watu

Hivi Paloma na sosoliso hawajamaliza hili soo tu?

Marriage+Cartoon.jpg
 
Last edited by a moderator:
Mkuu charger jana Bujibuji kanitisha bana kaniambia anatembea na radi ya mia tano na nikiendelea anaituma faster
Ohhh nishamkumbuka Bujibuji na gazeti lake jana ila saudari yuko juu kashapata mpaka godoro

Ila bujibuji inabidi tumwitie manyaunyau amfanyie dewitching,kwa level aliyofikia jana baada ya kukutishia radi mimi nimekutana na fisi kwenye lift jengo moja posta.
 
Last edited by a moderator:
Haswaaaaaaaaaaa!!!!! Huyu atakuwa Bujibuji, si umeona lile kovu kwenye mguu wake wa kushoto?

Ila kweli bujibuji ana kovu mguuni alitumbukiaga kwenye shimo baada ya kufumaniwa.
 
Last edited by a moderator:
zimfikie wapi sasa..? umejifunika na godoro mwenyewe hapo halafu unatoa salamu.. ha ha ha saudari..

Mkuu sosoliso unamfanyaga nini mwenzio paloma mpaka anakua defensive hivo?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom