Old news, hii picha ndio umeiona leo? Upo outdated sana.
Inauma sana aisee pole kaka utapona hajarishi unapitia magumu kiasi gani pambana mpaka mwisho.
Kuna wajinga humu walikuja na kusema eti alijiteka , yaan watanzania sijui tuna laana gani yaani vichwani mwetu sijui tumejaza vitu gani maana hatuna uwezo mzuri kufikirdah pole kumbe walimteka kweli
Utu ni jambo la busara zaid ya chochote, roho mbaya kwa wenzio si jambo jema sisi sote ni binadamu mbali na tofauti zetu za kiiman , kisiasa nk lakin sote tu watoto wa mtu mmoja kiimani ,tusikose utu kiasi hiki kwa sababu tu ya tofaut zetu za siasaacha ujinga mbona huyo mzima kabisa nenda hospital uone watu waliopata ajali hali zao zilivyo zuzu wewe
Unamaana gani unapo mpa pole na kumshauri aache kutumika ? Fafanua na tuelimishe na sisi ... !Pole ndugu.
Ila tuache kutumika madhara yake ni makubwa sana,