Maskini Prof Mbwete wa OUT

Pdidy

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
61,680
Reaction score
37,868
Jamani nimepata taarifa cheo cha prof mbwete kimetangazwa karibuni
je mh anaondoka ama amekataa ku applly tena.
We luv u prf
 
Applications are invited from suitably qualified tanzanians to fill the post of the vice –chancellor
of the open university of tanzania
 
Tatizo ni nini, si anatoka na wengine wapate kazi na kupractice ujuzi na utalaamu wao si ndio mabadiliko yanayotakiwa. Naye kabla yake alikuwepo Prof. Mmari na pia alifanya kazi nzuri
 
Wewe Mhalisia unapotosha watu kwa heading yako bana .Chunga unaweza kukatisha roho za watu pasina sababu.BE CAREFUL ON WORDING!!!!!!
 
He nilifikiri kaenda pumzika au nae ameamua kugombea ubunge

mpwa wanaendaga kupumzika ama wanapumzishwa kinguvu awapendi kupumzika basi tu jamaa akiamua ameamua,aisee imenishtua sana hii kamani kweli,jamaa alijitahidi sana
kawanyoa wenzake nae wamemnyoa si angewaacha tu...pole prof huu ni ujasiri pumzika kwa amani
 
kwani ni contract yake imeisha au?kwani kazi hiyo ni ya Mkataba na anaweza omba tena kama anahitaji.
 
hii contract yake inaisha 2011 ninachokubuka nikiwa pale sijui nini kinaendlea maskini,mwana tupe hali halisi
 
Wewe Mhalisia unapotosha watu kwa heading yako bana .Chunga unaweza kukatisha roho za watu pasina sababu.BE CAREFUL ON WORDING!!!!!!

Ni kweli.

Inabidi tuwe responsible na hivi thread tunazozileta na kilichomo humo. Huenda mleta thread ndio walewale waandishi wa tabloids.
 
Inasikitisha sana kwa sie tukie mpenda ila bwana amempenda zaidi
naamini atamfungulia njia nyingine;prof tunakupa hongera kwa uliyofanya hii ni kazi kila mtu anapita

open with sadness

Kabla sijafungua hiyo file nilielewa vingine hapo kwenye red..umetumia neno tofauti!!..
Eniwei, yote heri!..Atoke mwingine aingie!!!..
 
jamani tuwe makini na namna tunavyorusha sredi!.........
 
Kuna tangazo la nafasi ya kazi kwenye attachment , dada belinda umepotea sana au uko jimboni
 
NADHANI ULIKUWA UKIMAANISHA TUKUJUE UKOJE KIFIKRA, NDO MAANA UKAWEKA AVATAR HIYO....haiwezekani ukaweka post hiyo as if Prof. Mbwete kafariki! Umenichefua vibaya! Kumbuka huyu Prof katengeneza maisha ya watu kibao...umetuletea usumbufu na bora utuombe radhi kama ni muungwana.😡

Inasikitisha sana kwa sie tukie mpenda ila bwana amempenda zaidi
naamini atamfungulia njia nyingine;prof tunakupa hongera kwa uliyofanya hii ni kazi kila mtu anapita

open with sadness
 
]Inasikitisha sana kwa sie tukie mpenda ila bwana amempenda zaidi[/B]
naamini atamfungulia njia nyingine;prof tunakupa hongera kwa uliyofanya hii ni kazi kila mtu anapita

open with sadness
Hayo maneno yamenitisha kweli
 
Nimechukia sana kwa hii thread, na amani yangu ya siku nzima imeondoka .
Kwanini uandike kichwa kisichoendana namna hii?

Hivi hujui kwamba kwa tangazo hilo na yeye anaweza akaapply na kuchukuliwa tena, kwani kuna hatari gani kwa senior position kama hiyo?

Usirudie tena kufanya hivyo aisee, mi huyu mtu ni ndugu yangu wa damu, sa umenitisha sana, kidogo nianze kupiga simu aisee!

Iam disappointed!...badilisha heading!
 


wacha kudanganya umma wapi pameandikwa kafariki jichefua mwenyewe si tutakufuta

mi ni mmoja walisaidiwa na huyu bwana usijione unampenda sana;ndio maana kwangu mimi imekuwa huzuni kuondoka pale out umenielewa;;ulitaka nikwambie fungua kwa furaha wakati shujaa ametolewa kwenye mlima

ntakuomba radhi ukishaomba radhi hilo nneno""kafariki""
 
Paoleni waathirika wa thread
 
Umeniboa na heading yako. Mimi nilijua kapata ajali au jamaa kadead. Sasa unachosema Mungu kampenda zaidi ni kipi! Wewe ni MC wa kwenye misiba nini? Sasa ni nini kibaya, kama muda wake wa kuwa hapo umekwisha? Badala umpongeze kwa kumaliza kazi yake vizuri??
 
Hapa nimepapenda:

Salary:
[FONT=Book Antiqua,Book Antiqua][FONT=Book Antiqua,Book Antiqua]The salary will be attractive and in keeping with the Treasury’s Registrars Circular No. 1 of 1998.
[/FONT]
[/FONT][FONT=Book Antiqua,Book Antiqua][FONT=Book Antiqua,Book Antiqua]Fringe Benefits:
[/FONT]
[/FONT][FONT=Book Antiqua,Book Antiqua][FONT=Book Antiqua,Book Antiqua]As spelt out by the Treasury’s Registrar’s Circular No. 1 of 1998

Wenye hizo sifa jitokezeni
[/FONT]
[/FONT]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…