Juma Mbwataji Msema Ovyo Nkamia. Ubunge ndo mara ya mwisho.
Yule mbunge mropokaji na msema hovyo Juma nkamia ,leo ameamua kufuta swali lake kwa wizara ya membe 'nafikiri' akiogopa kutoa matusi!
Jamani chuki too much! Ni mtanzania mwenzetu atajirekebisha,mmemsema sana this time.am sure ata remedy.
Juma Mbwataji Msema Ovyo Nkamia. Ubunge ndo mara ya mwisho.
Kwa ccm vilaza wa aina hii ndiyo wanaotakiwa na kutukuzwaNkamia ni kilaza wa kutupwa...