Maskini mwalimu huyu, so sad jamani

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
61,023
Reaction score
36,892
Mwalimu mmoja alikuwa anafundisha akaenda kukalia dawati chati mbaya akadondoka chali.

Faraja akanza kucheka
Mwalimu "Faraja unacheka nini?"
Faraja "mwalimu nimeona shanga zinacheza cheza"
Mwalimu "toka nje njo bada ya wiki moja"

Juma nae akanza kucheka
Mwalimu "Juma unacheka nini"
Juma "mwalimu niliona mapaja yako mazuri"
Mwalimu "Juma toka nje huna adabu kabsa nicikuone tena bada ya mwezi mmoja"

Pdidy nae akanza kuondoka uku anacheka
Mwalimu kauliza "mbona Pdidy unaondoka nini tatizo"
Pdidy "mwalimu nilichokiona nahisi nikisema sitorudi tena wacha nijiondokee mwenyewe"
 
Jumatano njema
 

hahahahaahhaahaha ni noumer xanaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…