Maskini Musiba, kibarua kimeota Nyasi

Ukizaliwa ktk family ya ukuwadi utaishi kikuwadi na familia yako hadi kizazi cha 4 itakuwa ya kikuwadi! mtu mzima unatumika kama kile 'kifanyio' au zile 'katatasi' za wash room! Shame on him.
 
Hahaha yeye alisema ni mkurugenzi mmiriki, iweje afukuzwe?! Kesho atakuwa UHURU kuendeleza mapambano. Maana hana power ya kuita press tena.
kama kila analo sema ni kweli basi tumuamini tu kuwa amefukuzwa kazi na yupo kimya kuzungumzia hili...
 
Membe , kaza Uzi kidomo domo akulipe mapesa yako. Mdomo uliponza kichwa.
Nyoka walimfuga wenyewe, eti wamesitisha mkataba. Si alikuwa anvaa choenlai suit kisha anaanza kupanda mbegu za ubaguzi na uchochezi.
Nakuomba Musiba tulia usiingie mitini face the music.Vuna matunda ya Chuki uliyokuwa ukiipnda.
 
HILI BANDIKA KAMA MDUDU ANAYERUKA RUKA KWENYE KIDONDA..!

>angalia behind kwenye tangazo kuna jamaa anashangaa mpiga picha wa hilo tangazo 😂!
 
Nilijitoa facebook
Face book au any other social medua haina shida na wala haitatokea kuwa na shida !tatizo wewe mtumiajiunaji associate na watu wa aina gani ?
Acheni kulaumu hulka na akili zenu mtaonekana wehu zaidi,uk8ona una virtual friend mjinga mjinga fyeka au blockilia mbali kule .Binafsi 95%ya marafiki zangu wa mitandaoni kama face book and insta are people i know in person na wapo wengine nawajua wana request mwaka sijui wa ngapi si wa accepr because i know them in person they are bad news!mpaka wanakutumia sms mbina huni accept?nami huwajibu is it compulsory?
Make a right choice ya virtual friendz waki hutokaa ulaumu-mfano mdogo humu kama hupendi kero na majibu fyongo temebelea jukwaa la kina Chief Mkwawa ,Mwl Rct and others kule ni facts na vi jokes kwa mbaali tena vimeanza sasa wa hizi team tecno vs sammy and iphy
 
Back
Top Bottom