Maskini Mtoto Huyu...... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maskini Mtoto Huyu......

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Bajabiri, Jun 16, 2011.

 1. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #1
  Jun 16, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Leo ni siku ya Mtoto wa Afrika....mtoto ambaye amekosa matumaini.....mtoto ambaye unamkuta anaombaomba pembezoni mwa barabara,mtoto ambae anaikosa elimu japo ni haki yake....mtoto ambaye Konyi anamtumia kwenye vita....mtoto ambaye anabakwa na kunajisiwa pamoja na kufanyiwa ukatili wa kila aina.....mtoto ambaye hata akienda shule anaenda na njaa yake,konda anamnyanyasa,na akiwa darasan anakaa chini.....mtoto asiye na mtetezi....mtoto anayesakamwa na magonjwa ya kila aina,malaria,utapia mlo,ukimwi,pepopunda,surua,na kadhia tele......Mtoto ambae hakuna mwanasiasa anayependa kumkadili.....mtoto ambaye baadhi ya watu humtumia ili kupata pesa kwa wafadhili........
  Mtoto wa Afrika lini atatabasamu?????
  nini lengo la siku ya mtoto wa Afrika?????
   
Loading...