Maskini mke wangu

Maskini mke wangu

UWOGA=UMASKINI

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2013
Posts
2,400
Reaction score
1,017
Nawaomba wenye mawazo ya busara na wanipe ushauri.mke wangu ni mfanyakazi wa serikalini katika mikoa ya kaskazini na mimi niko mko mwingine huwa nina tabia ya kumtembelea marakwamara ila tatizo nimekuwa na mashaka na mfanyakazi mwenziwe na kila nimulizapo analalama sana na kulia usiku mzima na hata saa nyingine kupoteza fahamu na kudai hana mahusiano kabisa na mtu huyo kabisa na kudai ni rafiki tu sasa nabaki njia panda nifanyeje coz huyo rafikiye kuna siku anakuja hapa nyumbani na kunikuta na tunaongea kidogo na kuondoka sasa sijui siku nisipokuwepo inakuwaje.
 
nAWAOMBA WENYE MAWAZO YA BUSARA NA WANIPE USHAURI.MKE WANGU NI MFANYAKAZI WA SERIKALIN KATIKA MIKOA YA KASKAZINI NA MIMI NIKO MKO MWINGINE HUWA NINA TABIA YA KUMTEMBELEA MARAKWAMARA ILA TATIZO NIMEKUWA NA MASHAKA NA MFANYAKAZI MWENZIWE NA KILA NIMULIZAPO ANALALAMA SANA NA KULIA USIKU MZIMA NA HATA SAA NYINGINE KUPOTEZA FAHAMU NA KUDAI HANA MAHUSIANO KABISA NA MTU HUYO KABISA NA KUDAI NI RAFIKI TU SASA NABAKI NJIA PANDA NIFANYEJE COZ HUYO RAFIKIYE KUNA SIKU ANAKUJA HAPA NYUMBANI NA KUNIKUTA NA TUNAONGEA KIDOGO NA KUONDOKA SASA SIJUI SIKU NISIPOKUWEPO INAKUWAJE.

ukiona manyoya...
 
Fuatilia mawasiliano yao. Mnunulie smartphone, utaweza kufuatlia mawasliano yao. Ila uwe tayari kwa lolote,unaweza ukazimia wewe kwa utakayoyagundua,usiamke tena.
 
Kitu cha "Couple tracker" au "Girl/Boyfriend tracker" inahusu hapo.

Lakini angalia, usije ukajuta na kuuma meno mkuu!! Kumbuka ndoa nyingi zimevunjika kupitia application hizi.
 
ila ndoa ni ngumu sana inatisha sana...ila huo urafiki usio na kichwa wala miguu wa kazi gani..?
 
Kwa nini usifanye mpango akahamia huko wewe uliko au wewe ukahamia aliko yeye?
 
Wakikumegea demu wako nawe tafuta mnyonge umegee; haipunguzi maumivu inarudisha hadhi ya kiume-_fa
 
Kwanini usiwailize majiran? Tafuta namba Za majiran wawe wanakupa update jamaa akija na Kama amelala au lah....,


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mm huwa naamn ndoa inajengwa watu 2 endapo tu watajua nafasi walizonazo waztumie vp il kuleta amani ya kudumu ndan ya ndoa zao,na nowdayz wnk watumia cryin as a defence mechanism on doing their rubbish,mke wa mtu urafk wa kiholela na me unakusaidia nn?
 
Ndg huna tofauti na yanayonisibu,ila mm uchunguzi wangu umefikia 60%,najtahidi ufikie 85%,il niweze kuchukua maamuzi,na mpaka ss hajui na hajielew kuwa namfanyia ujasusi wa hal ya juu.Hawa viumbe n pasua kichwa sna hasa mkiwa in a distance,ni kuumia tu.
 
Never let Betrayers walk alive, if you find out they are truly betraying you, take actions, actions that will make then never like what they did.
When it comes to my heart, I will not hesitate to make you suffer.
 
anakusaidia huyo sasa wewe na baridi ya kule unategemea nini,hata asipokuja hapo watakutana kunako na wataendeleza solution,kaeni mkoa mmoja nae ni binadamu zikianda hana jinsi ,kwa ufupi distance relationship is very risky
 
Ukikubali kuishi mbali na mkeo, kwa maana nyingine umekubali mkeo achezewe. Hivi unawezaje kuishi mbali na mkeo na mmeo? Mke na mume wanatakiwa waambatane kila mahali wanapohama. Acheni kuendekeza pesa. Mmoja wenu amfuate mwingine.
 
Back
Top Bottom