Maskini Mjomba Chimbuvu!!

Status
Not open for further replies.
Si, sahihi kufanya ivyo, ila nawe kwanini uwe kichocheo cha mtu kutukana matusi? Sie, ni binadamu ukae ukijua na hisa zipo.
Ninakuomba umuombee msamaha Chimbuvu my brother atoke kwa moyo mkunjufu na wenye amani, tunapo koseana yatupasa kusameheana hadi maneno ya mungu yana tua amlu tufanye ivyo.
Aah...inawezekana kuna mitazamo tunatofautiana;ila,je,ni ustaarabu kuporomosha matusi ya nguoni kwa mtu msiye kubaliana mtazamo?
 
Last edited by a moderator:
wakati huu ambao CC inapitia majaribu na misukosuko,nimeamua kujiweka kando kidogo.nipo jukwaa la siasa nikijitahidi kuijiweka karibu na wanamtwara kwa matatizo yanayo wapata.CC imevamiwa na masharobaro wa FB.
 
Aah...inawezekana kuna mitazamo tunatofautiana;ila,je,ni ustaarabu kuporomosha matusi ya nguoni kwa mtu msiye kubaliana mtazamo?

ni tusi gani la nguoni ulotukanwa we babu? Unanikera mbaya, sitaki hata kuona jina lako
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…