Maskini Mji wa Moshi

Maskini Mji wa Moshi

wewe mleta mada unajua mji wa ni barabara ya KCMC tu? Hebu tuambie kwenu wapi?
 
Mti wenye matunda ndo unapigwa mawe... Source ni kwamba watanzania wengi wanaichukia kilimanjaro pamoja na serikali ya ccm. Sababu kubwa ni kwamba wachaga ni wajanja..... na mngejua tu hii michaga ilivyo na mihela huko benki ni shida kabisa. Kuna rafiki yangu anafanya benki amenipa mrejesho mpaka nimeshangaa
A%20S-eek.gif
.. Kwa mliopo benki mnaweza mkasaidia kwa hili...
 
Mapovu Ya Nini? Kwani Majambazi Na Matapeli Wengi Wanatoka Wapi Tanzania? Mmefilisi Hadi Che Nkapa!!!!!!!!!!!!!!!!!!

1.majambazi wanatoka kigoma, 2.matapeli kwao bukoba,
3.wa vigodoro dar na pwani,
4.wezi Wa mifukon Tabora ,
5.wachapa kazi na kujituma Moshi kilimanjaro,
6. Arusha mateja
Haya we GENTAMYCINE wa wapi? Kigoma??
 
Last edited by a moderator:

7.Wadhulumaji jeee?
 
Atokapo Hayati Mwalimu na Che Nkapa ( Tanzania ) / Cyagungu ( Rwanda ). Je Una Swali Lingine Mkuu?
 
Mti wenye matunda ndo unapigwa mawe... Source ni kwamba watanzania wengi wanaichukia kilimanjaro pamoja na serikali ya ccm. Sababu kubwa ni kwamba wachaga ni wajanja..... na mngejua tu hii michaga ilivyo na mihela huko
benki ni shida kabisa. Kuna rafiki yangu anafanya benki amenipa mrejesho mpaka nimeshangaa
A%20S-eek.gif
.. Kwa mliopo benki mnaweza mkasaidia kwa hili...[/QUOTE

Mweeeeh......×100! Nani aichukie kilimanjaro na kwa faida ipi? Kama mihela wanayo si yao na kwa faida yao.....ila kweli mji unatilia huruma kwa namna ulivyo ndo maana mleta mada kaanza na neno la unyonge sana " Masikini mji wa......" Ila hatuichukii kilimanjaro wala nini, isipokuwa ni hali halisi
 
Umeshafika Moshi?? Hivi mtu akipiga picha pale kariakoo akaja aka conclude dar sewage system yote mbovu barabara zimejaa maji machafu utasupport??

Ubaya wa mji wa Moshi uko wapi?? Katolea mfano barabara moja tu ya kwenda KCMC vipi zingine zikoje??
 
Mti wenye matunda ndo unapigwa mawe... Source ni kwamba watanzania wengi wanaichukia kilimanjaro pamoja na serikali ya ccm. Sababu kubwa ni kwamba wachaga ni wajanja..... na mngejua tu hii michaga ilivyo na mihela huko
benki ni shida kabisa. Kuna rafiki yangu anafanya benki amenipa mrejesho mpaka nimeshangaa
A%20S-eek.gif
.. Kwa mliopo benki mnaweza mkasaidia kwa hili...[/QUOTE

Mweeeeh......×100! Nani aichukie kilimanjaro na kwa faida ipi? Kama mihela wanayo si yao na kwa faida yao.....ila kweli mji unatilia huruma kwa namna ulivyo ndo maana mleta mada kaanza na neno la unyonge sana " Masikini mji wa......" Ila hatuichukii kilimanjaro wala nini, isipokuwa ni hali halisi

Roho inakuuma tu hebu weka mji wako ka si mapori chuki tu zimewzidi kwa wachaga na mtasanda mnapondea kujipa moyo poor you
 
Back
Top Bottom