Kwa wenzengu furaha lakini kwangu nina nini maana kila nikijaribu kutafuta mchumba humu nakosa mpaka najiuliza kwani humu mnaenda kwa kujuana?
Usilalamike,tatizo mna vigezo vingi sana.
Kwa wenzengu furaha lakini kwangu nina nini maana kila nikijaribu kutafuta mchumba humu nakosa mpaka najiuliza kwani humu mnaenda kwa kujuana?
huna hela tafuta pesa utapata.. halafu acha kujiita maskini hakuna mwanamke anataka kuolewa na mwanaume maskini
tafadhali nini tena mkuu?Miss Chagga Tafadhali........
tafadhali nini tena mkuu?
ha ha ha ukiumia inakuwa vizuriYou always speak truth till you hurt some people..........Ebo!
nat good bana....Si unajua pesa ni funguo ya kila kitu humu duniani!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!ha ha ha ukiumia inakuwa vizuri
ndiyo uzitafute aiseenat good bana....Si unajua pesa ni funguo ya kila kitu humu duniani!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Kaoge na maji ya maiti una gundu ww
fyuuuuuu, we mbwa kisa cha kumwambia mwenzio ivo kama huna la kufanya kalale
Kaoge na maji ya maiti una gundu ww