Maskini lulu jela IMEMJERUHI

Jul 28, 2012
13
3
Wanajamii wenzangu hivi kwanini mahakama inashindwa kutoa maelezo ya kina kuhusu maendeleo ya kesi ya msanii Elizabeth Michael mana mtoto huyu ameendelea kukaa rumande siku hadi siku na pia anaathirika kisaikolojia.Wanajamii hii kesi inaweza ikadumu kwa muda mrefu sana mana kila akipelekwa mahakamani tunasikia kesi imehairishwa.Jamani jela jeraha mtoto huyu anapata jeraha la moyo
 
Title haiwiani na habari...
 
Wako wengi sana huko JELA, ingekuwa bora nao wapewe kipaumbele na si huyu LULU peke yake.
 
huyu mtoto sidhani kama anaishi segerea! mbona kila anapokwenda mahakamani anakuwa anang'aaa na mitindo ya nywele kila mara anabadilisha! kweli jela zetu zimeboreka kwa namna hiyo! mmmh:spy:, si lulu pekee mwenye kesi kama hiyo, wapo watz kibao na hawana hata pakuegemea nadhani hawa ndo watakuwa wamwakufa kabisa kisaikolojia! inabidi pia nao waangaliwe mana wapo wenye matatizo zaidi ya lulu! bali kwa kuwa tunamunaga kwenye kideo basi tuna mconsider sana! hapana bana tuangalie na upande wapili washilingi
 
Back
Top Bottom