Maskini hawezi kumsaidia maskini?

Maskini hawezi kumsaidia maskini?

Tumain

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2009
Posts
3,154
Reaction score
74
Historia inaonyesha kuwa watu maskini badala ya kusaidiana mara nyingi hupoteza muda kuchukiana, kutengana na kuharibiana, badala kushirikiana etc? mfano maskini mwizi atapigwa na maskini wezanke mpaka kuuliwa, lakini hao maskini si rahisi kumchukia tajiri mwizi waungane wampige..utakuta rupia zinapitishwa maskini wanagawanyika wanachukiana wao kwao...

Viongozi wazuri wanatakiwa wawe matajiri kwanza kabla, maana maskini akipata cheo hakumbuki maskini, akipata utajiri hudharau maskini wenzake wa zamani.

Maskini akiwa kiongozi ni vigumu kufanya uadilifu mia kwa mia, anakuwa na vikwazo na vishawishi vingi..vya kutumia mali ya umma kwa faida yake mwenyewe.
Conclusion: Tutafute kiongozi tajiri muadilifu atasaidia maskini, lakini maskini muadilifu leo huwezi ku-garantee uadilifu wake baada ya kupata cheo.
 
kwa sababu anafukia mashimo ya umasikini aliolimbikiza kwa muda mrefu na katika ukoo woote.🙄
Kwahiyo kni nadra sana kupata maskini muadilifu kuwa kiongozi?
 
kweli masikinihana thamani,maana sasa sifa zote anapewa tajiri,leo hii katika swala la kiongozi bora kipato cha mtu nacho kinakuwa ni kigezo
 
misaada huambatana na kejeli na dharau. Tumaini tusikaribishe wala kupenda misaada, daima hakuna cha bure....tutengeneze mfumo maridhawa wauzalishaji hakika tutajitegeme\a na tutasonga mbele.
leo JK kaenda kuomba msaada Jamaica, jamani sini matusi haya.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom