kuna mtu ana kumbukumbu hii ilikuwa wapi? mtoto ana mguu na anmwonea haya dr halafu mzee wa watu ni kama hana habari naye. naona kuna mzungu kapigwa butwaa naangalia kajishika mdono kwa mshangao. hii ya kuvaa suspender kama mtikila imekaaje?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.