Ummy hatakiwi hata kulalamika, anyamaze kimya kwani hawahawa waliomkata 2027 wataanza kumkosea Mama adabu, ajipange vizur kabisa ili 2027 hata hiyo Rajabu wizard atayaaga mashindano, Uwenyekiti wake ulitokana na ujinga wa Wasambaa wawili wa Lushoto kufanyiana fitina, 2027 hata uchaguzi usimamiwe na Mama mwenyewe hapiti watu washausoma mchezo wote na hapo Ummy atalipa kisasi vizur.
Wanu Amer amalize tu kuna bomu linawafata ikiwemo familia ya Mwinyi, kama yao akimaliza na Mama wakimaliza basi wote waliomshangilia watalipa gharama za usaliti.