Maskini dada wa watu ananipenda kimya kimya

Maskini dada wa watu ananipenda kimya kimya

Bahati mbaya neno la kiswahili ni moja tu mzuri. Lakini kwakiingereza ni handsome ( me) na beautiful (ke). Sijaona kosa la mtoa mada hapo,na mtu kuwa Handsome si dhambi wala vibaya. Mi nilivyoelewa anasympathise tu na mdadaanenyong’onyea kichinichini.
Maana unakuta mtu ni- Handsome, na kipaji Fulani, kichwanikuko vizuri, ana kazi nzuri, ana pesa ana gari juu. Hapo majaribu ni mengi,inabidi mikakati ya kukataa in a polite and diplomatic way iwepo.
Halafu hili jamani ni MMU kirefu chake ni Mapenzi Mahusianona Urafiki ni mada pana. Hivyo endapo mada ingekuwa imewekwa jukwaa la siasalabda lakini kwa maoni yangu hapa ni mahala pake kabisa.

maana yake team kibamia au jongoo hapandi mtungi...nimecheka sana hii post yako ndio maana nimeona ni vema ukifaham. pole mkuu

Khaa kumbeee, ndo nimeelewa sasa, asante mkuu!
Halafu mwenyewe alinibania kuniambia maana yake

cc Apologise lady
 
Last edited by a moderator:
Bahati mbaya neno la kiswahili ni moja tu mzuri. Lakini kwakiingereza ni handsome ( me) na beautiful (ke). Sijaona kosa la mtoa mada hapo,na mtu kuwa Handsome si dhambi wala vibaya. Mi nilivyoelewa anasympathise tu na mdadaanenyong’onyea kichinichini.
Maana unakuta mtu ni- Handsome, na kipaji Fulani, kichwanikuko vizuri, ana kazi nzuri, ana pesa ana gari juu. Hapo majaribu ni mengi,inabidi mikakati ya kukataa in a polite and diplomatic way iwepo.
Halafu hili jamani ni MMU kirefu chake ni Mapenzi Mahusianona Urafiki ni mada pana. Hivyo endapo mada ingekuwa imewekwa jukwaa la siasalabda lakini kwa maoni yangu hapa ni mahala pake kabisa.

Kati ya wote waliochangia hii mada, nikiri kwamba wewe ndiye uliyenielewa na kuwa objective!
Hoja yangu haina maana ya kujisifia wala kujitafutia mabinti humu ila kujifunza kutoka kwa watu wengine kutokana michango kama wewe.

Barikiwa mkuu
 
Re: Maskini Mdada wa watu ananipenda kimya kimya!
Tatizo hayo yote uliyoyaeleza yameeleweka na nimwonekano wa nje, je ndani huko salama???????? maana wa mbwembwe kama wewe mara nyingi mnakua either team lady's finger au function less.​

  • AYAAAAAA MKUUU HEBU NJOOO KUNA HAKA KA BINTI KANATAKA MGUU WA MTOO.
 
Heshima mbele wanajamvi,

Kwa uzoefu wangu nimewahi kutongozwa na wanawake kama sijakosea wanne tofauti, wenyewe wanajuwa matokeo yake. Mwaka mmoja uliopita nilikwenda kurekebisha miwani yangu hapa mjini. Kwenye ile ofisi kuna mdada mzuri sana na mchangamfu tukawa tunapiga story wakati mafundi wao wananitengenezea miwani.

Nilishangaa aliponiuliza eti hivi si unapata shida na wanawake sana? Kwa urefu na muonekano wako hawakusumbui kukutaka kimapenzi? Mhhh nilishindwa kumpa jibu la moja kwa moja nikazuga tukapita hiyo topic kwani sikuelewa tafsiri halisi ya swali lake kwa upande wake.

Wiki iliyopita nilienda barbershop ninaponyoa siku zote yapata miaka miwili na nusu sasa kijitonyama alafu kila wiki lazima niende nikiwa hapa town maana mm nanyoa upara tu. Sasa wakati mhudumu ananifanyia scrab akaanzisha story japo mimi sijawahi kuwa nao free kivile maana nimewahi kusikia mikakati yao.

Kwenye maongezi akaniambia eti "dah! Kuna dada yupo kwenye fremu ya jirani yetu wanauza nguo yaani anakupenda hatari, kila akiliona gari lako utamsikia anasema 'mpenzi' wangu kaja" nilishangaa sana japo alijaribu kunielezea huyo dada alivyo ila sijawahi kumuona nikaipotezea.

Maskini wa watu kumbe kina dada nao wanaweza kupenda kimya kimya kama sisi wanaume.
mkuu,hiyo ni bahati na nihatari pia,ongeza umakini na usipende kucheza na hisia za mtu utakaekua nae....wanwawake huwa wakipenda wamependa.....naa wakipenda sana wanakua kama vichaa, kwa umbo na sura yako kwa mujibu wako, oa mwanamke utakaempenda na sie atakaekupenda,ukienda kinyume na hapo.....iko siku utanitafuta kwa udi na uvumba nikupe ushauri.....
 
kuna kaka mmoja hiviii sijui ndo weweee,
umeoa hivi karibuni???
 
mkuu,hiyo ni bahati na nihatari pia,ongeza umakini na usipende kucheza na hisia za mtu utakaekua nae....wanwawake huwa wakipenda wamependa.....naa wakipenda sana wanakua kama vichaa, kwa umbo na sura yako kwa mujibu wako, oa mwanamke utakaempenda na sie atakaekupenda,ukienda kinyume na hapo.....iko siku utanitafuta kwa udi na uvumba nikupe ushauri.....

Ahsante kwa ushauri mkuu
 
Khaa kumbeee, ndo nimeelewa sasa, asante mkuu!
Halafu mwenyewe alinibania kuniambia maana yake

cc Apologise lady

Hahahahahahaha!!!!!! mito, sisikubania tatizo hukuwa na hela ya kunilipa tuisheni nikikufundisha. huyu NAHINGA nae lol, angeacha unibembelezeeeeeeee ili nikwambie kwa pesa, si unajua mjini cha bure ni salamu tu?????
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom