Maskini dada wa watu ananipenda kimya kimya

Heshima mbele wanajamvi,

Kwa uzoefu wangu nimewahi kutongozwa na wanawake kama sijakosea wanne tofauti, wenyewe wanajuwa matokeo yake. Mwaka mmoja uliopita nilikwenda kurekebisha miwani yangu hapa mjini. Kwenye ile ofisi kuna mdada mzuri sana na mchangamfu tukawa tunapiga story wakati mafundi wao wananitengenezea miwani.

Nilishangaa aliponiuliza eti hivi si unapata shida na wanawake sana? Kwa urefu na muonekano wako hawakusumbui kukutaka kimapenzi? Mhhh nilishindwa kumpa jibu la moja kwa moja nikazuga tukapita hiyo topic kwani sikuelewa tafsiri halisi ya swali lake kwa upande wake.

Wiki iliyopita nilienda barbershop ninaponyoa siku zote yapata miaka miwili na nusu sasa kijitonyama alafu kila wiki lazima niende nikiwa hapa town maana mm nanyoa upara tu. Sasa wakati mhudumu ananifanyia scrab akaanzisha story japo mimi sijawahi kuwa nao free kivile maana nimewahi kusikia mikakati yao.

Kwenye maongezi akaniambia eti "dah! Kuna dada yupo kwenye fremu ya jirani yetu wanauza nguo yaani anakupenda hatari, kila akiliona gari lako utamsikia anasema 'mpenzi' wangu kaja" nilishangaa sana japo alijaribu kunielezea huyo dada alivyo ila sijawahi kumuona nikaipotezea.

Maskini wa watu kumbe kina dada nao wanaweza kupenda kimya kimya kama sisi wanaume.

haya nishakujua kuwa wewe ni mferu na kwa ufupi ni hensam. Jibu kutoka rohoni poch yako ndefu??????
 
Mtoto mchelemchele.....mashaaalaaaaaaahhhh...........lahaula lakwaaaaaaataaaaaa.........watu wameshakula.....bwawa hilo taja na beeii kabisa ili tujiandaeeeee.......
Sahihi mkuu, sasa hili sijui litakuwa la tanga ama mombasa! ?balaa hili!
 
Tatizo hayo yote uliyoyaeleza yameeleweka na nimwonekano wa nje, je ndani huko salama???????? maana wa mbwembwe kama wewe mara nyingi mnakua either team lady's finger au function less.

hapo nimepita kapa mkuu
 
kuna best angu alikua super handsome wasichana wanatongoza mpaka wanachoka na ukimtongoza hata km alikua rafiki yk uadui unaanza hapo hapo mi nilikua namshangaa nikamwambia wenzio wanatafuta fursa akasema mi mwqnamke akinitongoza naona amenidharau kupitiliza nakereka sana. sasa wengne wakitongozwa wanaona diiiiiiili matangazo kibao.
 
Heshima mbele wanajamvi,

Kwa uzoefu wangu nimewahi kutongozwa na wanawake kama sijakosea wanne tofauti, wenyewe wanajuwa matokeo yake. Mwaka mmoja uliopita nilikwenda kurekebisha miwani yangu hapa mjini. Kwenye ile ofisi kuna mdada mzuri sana na mchangamfu tukawa tunapiga story wakati mafundi wao wananitengenezea miwani.

Nilishangaa aliponiuliza eti hivi si unapata shida na wanawake sana? Kwa urefu na muonekano wako hawakusumbui kukutaka kimapenzi? Mhhh nilishindwa kumpa jibu la moja kwa moja nikazuga tukapita hiyo topic kwani sikuelewa tafsiri halisi ya swali lake kwa upande wake.

Wiki iliyopita nilienda barbershop ninaponyoa siku zote yapata miaka miwili na nusu sasa kijitonyama alafu kila wiki lazima niende nikiwa hapa town maana mm nanyoa upara tu. Sasa wakati mhudumu ananifanyia scrab akaanzisha story japo mimi sijawahi kuwa nao free kivile maana nimewahi kusikia mikakati yao.

Kwenye maongezi akaniambia eti "dah! Kuna dada yupo kwenye fremu ya jirani yetu wanauza nguo yaani anakupenda hatari, kila akiliona gari lako utamsikia anasema 'mpenzi' wangu kaja" nilishangaa sana japo alijaribu kunielezea huyo dada alivyo ila sijawahi kumuona nikaipotezea.

Maskini wa watu kumbe kina dada nao wanaweza kupenda kimya kimya kama sisi wanaume.

Umenikumbusha siku moja tulikuwa bichi.
Kuna kijana moja (jina limehifadhiwa) ni muuigizaji muvi za kibongo alisema "yeye ni handsome Tanzania nzima" nilifikiria ckupata jibu
Mtoto wakiume anajisifia yye ni mzuri!!
 
Heshima mbele wanajamvi,

Kwa uzoefu wangu nimewahi kutongozwa na wanawake kama sijakosea wanne tofauti, wenyewe wanajuwa matokeo yake. Mwaka mmoja uliopita nilikwenda kurekebisha miwani yangu hapa mjini. Kwenye ile ofisi kuna mdada mzuri sana na mchangamfu tukawa tunapiga story wakati mafundi wao wananitengenezea miwani.

Nilishangaa aliponiuliza eti hivi si unapata shida na wanawake sana? Kwa urefu na muonekano wako hawakusumbui kukutaka kimapenzi? Mhhh nilishindwa kumpa jibu la moja kwa moja nikazuga tukapita hiyo topic kwani sikuelewa tafsiri halisi ya swali lake kwa upande wake.

Wiki iliyopita nilienda barbershop ninaponyoa siku zote yapata miaka miwili na nusu sasa kijitonyama alafu kila wiki lazima niende nikiwa hapa town maana mm nanyoa upara tu. Sasa wakati mhudumu ananifanyia scrab akaanzisha story japo mimi sijawahi kuwa nao free kivile maana nimewahi kusikia mikakati yao.

Kwenye maongezi akaniambia eti "dah! Kuna dada yupo kwenye fremu ya jirani yetu wanauza nguo yaani anakupenda hatari, kila akiliona gari lako utamsikia anasema 'mpenzi' wangu kaja" nilishangaa sana japo alijaribu kunielezea huyo dada alivyo ila sijawahi kumuona nikaipotezea.

Maskini wa watu kumbe kina dada nao wanaweza kupenda kimya kimya kama sisi wanaume.

Hatari sana!!
 
Kulikua na umuhimu gani wa hili tangazo hapa???
 
kuna best angu alikua super handsome wasichana wanatongoza mpaka wanachoka na ukimtongoza hata km alikua rafiki yk uadui unaanza hapo hapo mi nilikua namshangaa nikamwambia wenzio wanatafuta fursa akasema mi mwqnamke akinitongoza naona amenidharau kupitiliza nakereka sana. sasa wengne wakitongozwa wanaona diiiiiiili matangazo kibao.

Hm!huyo naye alikua wa namna yake!
 
Heshima mbele wanajamvi,

Kwa uzoefu wangu nimewahi kutongozwa na wanawake kama sijakosea wanne tofauti, wenyewe wanajuwa matokeo yake. Mwaka mmoja uliopita nilikwenda kurekebisha miwani yangu hapa mjini. Kwenye ile ofisi kuna mdada mzuri sana na mchangamfu tukawa tunapiga story wakati mafundi wao wananitengenezea miwani.

Nilishangaa aliponiuliza eti hivi si unapata shida na wanawake sana? Kwa urefu na muonekano wako hawakusumbui kukutaka kimapenzi? Mhhh nilishindwa kumpa jibu la moja kwa moja nikazuga tukapita hiyo topic kwani sikuelewa tafsiri halisi ya swali lake kwa upande wake.

Wiki iliyopita nilienda barbershop ninaponyoa siku zote yapata miaka miwili na nusu sasa kijitonyama alafu kila wiki lazima niende nikiwa hapa town maana mm nanyoa upara tu. Sasa wakati mhudumu ananifanyia scrab akaanzisha story japo mimi sijawahi kuwa nao free kivile maana nimewahi kusikia mikakati yao.

Kwenye maongezi akaniambia eti "dah! Kuna dada yupo kwenye fremu ya jirani yetu wanauza nguo yaani anakupenda hatari, kila akiliona gari lako utamsikia anasema 'mpenzi' wangu kaja" nilishangaa sana japo alijaribu kunielezea huyo dada alivyo ila sijawahi kumuona nikaipotezea.

Maskini wa watu kumbe kina dada nao wanaweza kupenda kimya kimya kama sisi wanaume.

Weka picha yako ili wakina lady nonihino waone jinsi ulivyo HB
 
Wadada msijisumbue kumtafute huyu mwenye Tangazo. Kimbieni Mariooo huyoo:becky:
 
Sasa kama unapendwa si wewe?
Kuja kujitangaza huku ili iweje?
Aya tukusaidieje?
 
Heshima mbele wanajamvi,

Kwa uzoefu wangu nimewahi kutongozwa na wanawake kama sijakosea wanne tofauti, wenyewe wanajuwa matokeo yake. Mwaka mmoja uliopita nilikwenda kurekebisha miwani yangu hapa mjini. Kwenye ile ofisi kuna mdada mzuri sana na mchangamfu tukawa tunapiga story wakati mafundi wao wananitengenezea miwani.

Nilishangaa aliponiuliza eti hivi si unapata shida na wanawake sana? Kwa urefu na muonekano wako hawakusumbui kukutaka kimapenzi? Mhhh nilishindwa kumpa jibu la moja kwa moja nikazuga tukapita hiyo topic kwani sikuelewa tafsiri halisi ya swali lake kwa upande wake.

Wiki iliyopita nilienda barbershop ninaponyoa siku zote yapata miaka miwili na nusu sasa kijitonyama alafu kila wiki lazima niende nikiwa hapa town maana mm nanyoa upara tu. Sasa wakati mhudumu ananifanyia scrab akaanzisha story japo mimi sijawahi kuwa nao free kivile maana nimewahi kusikia mikakati yao.

Kwenye maongezi akaniambia eti "dah! Kuna dada yupo kwenye fremu ya jirani yetu wanauza nguo yaani anakupenda hatari, kila akiliona gari lako utamsikia anasema 'mpenzi' wangu kaja" nilishangaa sana japo alijaribu kunielezea huyo dada alivyo ila sijawahi kumuona nikaipotezea.

Maskini wa watu kumbe kina dada nao wanaweza kupenda kimya kimya kama sisi wanaume.

Tupia kapicha wajiridhishe mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom