Maskini dada wa watu ananipenda kimya kimya

Maskini dada wa watu ananipenda kimya kimya

Achana nao jf ni jukwaa huru,mbona wao huwa wanapost ujinga kama huu...."nataka nmufumanie mke wangu gest nifanyeje wadau" au upuuzi Huu "nina hisia za kimapenzi kwa kaka yangu wa damu nisaidieni"
 
Achana nao jf ni jukwaa huru,mbona wao huwa wanapost ujinga kama huu...."nataka nmufumanie mke wangu gest nifanyeje wadau" au upuuzi Huu "nina hisia za kimapenzi kwa kaka yangu wa damu nisaidieni"

Nawashangaa kweli ndugu zangu hawa! Dah
 
Tatizo hayo yote uliyoyaeleza yameeleweka na nimwonekano wa nje, je ndani huko salama???????? maana wa mbwembwe kama wewe mara nyingi mnakua either team lady's finger au function less.

Wenyewe waliopata experience wana nafasi mzuri zaidi kueleza hayo.

Ntakuwa najifagilia
 
Heshima mbele wanajamvi!

Kwa uzoefu wangu nimewahi kutongozwa na wanawake kama sijakosea wanne tofauti, wenyewe wanajuwa matokeo yake.

Mwaka mmoja uliopita nilikwenda kurekebisha miwani yangu hapa mjini. Kwenye ile ofisi kuna mdada mzuri sana na mchangamfu tukawa tunapiga story wakati mafundi wao wananitengenezea miwani. Nilishangaa aliponiuliza eti hv si unapata shida na wanawake sana? Kwa urefu na muonekano wako hawakusumbui kukutaka kimapenzi? Mhhh nilishindwa kumpa jibu la moja kwa moja nikazuga tukapita hiyo topic kwani sikuelewa tafsiri halisi ya swali lake kwa upande wake.

Wiki iliyopita nilienda barbershop ninaponyoa siku zote yapata miaka miwili na nusu sasa kijitonyama alafu kila wiki lazima niende nikiwa hapa town maana mm nanyoa upara tu. Sasa wakati mhudumu ananifanyia scrab akaanzisha story japo mimi sijawahi kuwa nao free kivile maana nimewahi kusikia mikakati yao.

Kwenye maongezi akaniambia eti "dah! Kuna dada yupo kwenye fremu ya jirani yetu wanauza nguo yaani anakupenda hatari, kila akiliona gari lako utamsikia anasema 'mpenzi' wangu kaja" nilishangaa sana japo alijaribu kunielezea huyo dada alivyo ila sijawahi kumuona nikaipotezea.

Maskini wa watu kumbe kina dada nao wanaweza kupenda kimya kimya kama sisi midume!

hii kali
 
Wenyewe waliopata experience wana nafasi mzuri zaidi kueleza hayo.

Ntakuwa najifagilia

Sikufichi watoto wakiume wengi mnaojifagilia na bla bla nyingi kama wewe, huwa na hizo sifa nilizoweka hapo. mwanaume rijali huwa hana ntantalila na sio mtoto wa mama, wa ooh!!! sijui napendwaaa, walahh! hapo hamna usalama.

NIMEPITA MIMI.
 
Wao wanajua na usije ukageneralise watu aisee.

Binafsi performance yangu naijua
 
Na hili tangazo uliloweka hapa, dah. Weka picha kabla sijahamia kuishi kwenye PM box yako

Nenda pm ya mshikaji ukakutane na Kibwengo badala ya Dully Sykes (Mr.Misifa). Utarudi nduki hapa utadhani umekoswa koswa kufumaniwa huko ulikotoka.
 
Mtoto mchelemchele.....mashaaalaaaaaaahhhh...........lahaula lakwaaaaaaataaaaaa.........watu wameshakula.....bwawa hilo taja na beeii kabisa ili tujiandaeeeee.......
 
Paw njoo ukusanye kodi ya mapato huku!!
 
Last edited by a moderator:
Yani watu kama ninyi hampendwi na mademu tu bali hata Njemba.Ninahisi utakuwa ulishapigwa kipara cha 0713. Hongera sana mkuu - teh teh teh!
 
Hahahahaaa, swaaag be continuing "Mad Men", the lost episodes.
 
Hayo ndio mawazo yetu wanaume wa sasa kweli? Unapata vipi muda wa kukaa na kuanza kujisifia kijana wa kiume? Hii ni aibu sana aisee.
 
Jf bhana, nimetoa experience na mtazamo wangu watu povu zinawatokaaaaa!

Badala ya kuwa objective mnaniseeeeeema haya wakuu nimewaelewa!

na wao si wanatoa mtazamo wao kulingana na experience zao?!!
 
Heshima mbele wanajamvi,

Kwa uzoefu wangu nimewahi kutongozwa na wanawake kama sijakosea wanne tofauti, wenyewe wanajuwa matokeo yake. Mwaka mmoja uliopita nilikwenda kurekebisha miwani yangu hapa mjini. Kwenye ile ofisi kuna mdada mzuri sana na mchangamfu tukawa tunapiga story wakati mafundi wao wananitengenezea miwani.

Nilishangaa aliponiuliza eti hivi si unapata shida na wanawake sana? Kwa urefu na muonekano wako hawakusumbui kukutaka kimapenzi? Mhhh nilishindwa kumpa jibu la moja kwa moja nikazuga tukapita hiyo topic kwani sikuelewa tafsiri halisi ya swali lake kwa upande wake.

Wiki iliyopita nilienda barbershop ninaponyoa siku zote yapata miaka miwili na nusu sasa kijitonyama alafu kila wiki lazima niende nikiwa hapa town maana mm nanyoa upara tu. Sasa wakati mhudumu ananifanyia scrab akaanzisha story japo mimi sijawahi kuwa nao free kivile maana nimewahi kusikia mikakati yao.

Kwenye maongezi akaniambia eti "dah! Kuna dada yupo kwenye fremu ya jirani yetu wanauza nguo yaani anakupenda hatari, kila akiliona gari lako utamsikia anasema 'mpenzi' wangu kaja" nilishangaa sana japo alijaribu kunielezea huyo dada alivyo ila sijawahi kumuona nikaipotezea.

Maskini wa watu kumbe kina dada nao wanaweza kupenda kimya kimya kama sisi wanaume.

kwakuwa umesema siku nyingine uje na kapicha basi ili panoge vizuri
kizuri kinajiuza kibaya kinajitangaza....wahenga walinena.....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom