Ruhazwe JR JF-Expert Member Jan 31, 2011 3,403 920 Sep 26, 2012 #1 Ninaumia sana kipenzi changu kwa mateso unayopata huko kwa C6 emu check C6 anavyochakalika. Njoo kwa wns upate raha Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Ninaumia sana kipenzi changu kwa mateso unayopata huko kwa C6 emu check C6 anavyochakalika. Njoo kwa wns upate raha
Arabela JF-Expert Member Jul 24, 2012 3,127 2,227 Sep 27, 2012 #2 Jaman kama ni kweli anateseka sana. Dah njoo wns uenjoy life
Asulo JF-Expert Member Jun 25, 2012 719 251 Sep 27, 2012 #4 Amempenda kwa shida hizo na raha.. Acha kumrubuni kwa mali zako.
Katavi Platinum Member Aug 31, 2009 41,983 12,703 Sep 27, 2012 #5 Kapenda jamani, bora tu utafute mwingine maana mwenzako kaoza kwa @C6
A Ave Ave Maria JF-Expert Member Apr 22, 2011 10,707 5,674 Sep 27, 2012 #6 Saint Ivuga said: mapenzi ni raha na shida Click to expand... Kweli kabisa....
data JF-Expert Member Apr 9, 2011 26,151 22,726 Sep 27, 2012 #7 tizama walivyo shibana... baki hukohuko charms.,