Maskendo yake .........nisaidieni jamani. Nifanyeje?

Mwanamume

JF-Expert Member
Jan 3, 2013
262
190
Jamani wanaJF nakuja kwenu na bonge la tatizo. Kwa kuwa hapa ni kigoda cha fikara naamini nitapata ushauri mzuri.
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 32. Nina mtoto 1 ambaye nilimpata nikiwa napita ktk kipindi cha balehe.Sina mke hadi sasa. Kwa muda wa miezi 12 nimekuwa ktk mahusiano yenye malengo ya ndoa na dada ambaye naye ana mtoto wa miaka 2. Dada huyu alinihakikishia kuwa mzazi mwenzie hayuko naye tena. Dada huyu pia amewahi kutembea na rafiki yangu wa karibu wa sasa kabla ya kuwa na mtoto. Hili limekuwa likinipa shida hata kumtambulisha demu huyu.
Mbali na hilo miezi 6 iliyopita nilipgiwa simu na jamaa aliyezaa naye akinisihi niachane na mkewe. Mimi nilianza kumkwepa yule dada kwa kuwa hakuwa mkweli maana alisema hana mtui. Baada ya wiki 1 yule dada alinifuata akiwa na marafiki zake 2 akadai yule mzazi mwenzie kesha achana naye na hana mpango wowote isipokuwa anamharibia tu. Mimi nikarudiana naye na nikazama vilivyo ndani ya moyo wake. Ikawa tunakula raha za kila aina za kimwili.
Wiki iliopita nilikwenda kwake bila taarifa mida ya saa 2 usiku. Nilipofika niligonga mlango mara tatu sikupata majibu. Kwa kuwa taa za sebuleni zilikuwa zinawaka nilijipa moyo kuwa huenda yupo chumbani kajilaza kitandani na amepitiwa na usingizi. Nilizunguka nyuma ya nyumba ili nimuite chumbani kwa kupitia dirishani. Niliita mara 2 bila majibu. Mara ya 3 nilikaribishwa na mwanaume aliyekuwa nyuma yangu akitokea ndani ya nyumba ninayogonga. Tulipoingia ndani yule mwanaume alimwita mara 3 yule dada kwa jina aje pale sebuleni ampokee mgeni wake ambaye ni mimi. Dada hakutoka. Ndipo yule jamaa akaniuliza `kwani wewe nani na ni nani yake?` Nikamwambia mm ni mpnz wake na nilipotaja jina langu akaniuliza unakumbuka kuna siku nimekupigia simu kukuonya uachane na mke wangu? Nikampa full story. Akaingia chumbani na kuanza kushusha kichapo kwa yule dada bila huruma, nami nikasepa faster. Leo hii ninavyoandika thread hii yule dada kamtuma rafiki yake aje kumuombea msamaha na kuahidi kumuacha kikweli kweli yule jamaa yake kwani hana malengo mazuri na yule dada kama niliyo nayo mm.
Nimkubalie ama nimkatalie? Maana dada nampenda mno. Naombeni msaada wa kimawazo, niko njia panda.
 
Hadi umri huo wa 32 years unakuja kuomba ushauri hapa tena na conditions kwamba unampenda sana! Mi nakushauri endeleeni kugawana hivyo hivyo huyo dada hadi ARV zitakapowatenganisha! Atakayepata feki ndyo atakuwa wa kwanza kumwachia mwenzie mzigo. Keep it up!

Maisha ni mafupi sana kupoteza muda wako na kucheza kwenye mazingira hatarishi hivi. Hiki ndio nilichoweza kukisema.
 
Dogo acha ungese, unajitafutia matatizo tafuta mwanamke mwingine anza maisha! Ukiendelea utakumbuka huu ushauri!
 
we umelogwa na nsyuka si bure......hushughulishi ubongo wa kati ktk kufanya maamuzi ya kukujenga.....nahisi huyo mwanaume hakuwa fair kumshushia huyo dada kichapo,ingekuwa mimi ndo jamaa ningekushushia ww kichapo hadi wale mapokezi wa mochwari ndo wangejua bado unapumua kwa mbali.Achana na mke/mpenzi/hawara wa mtu la sivyo ipo siku utang'olewa meno na msumali na nyundo akili ikukae sawa sawa.
 
Acha hizo mkuu huyo hakufai hivi jamaa angekuwa asiye na busara au we ukashindwa kujizuia si mgeuana....achana naye tena mwepuke kama ukimwi
 
Badilisha hiyo id unayotumia kwanza. Kama 'mvulana' imeshachukuliwa basi walau ujiite 'bwalizozo'

Advice is what we ask for when we know exactly what we should do, and we don wanna do it. Source: kingasti
 
Watu washaona fasheni kuomba ushauri.. Hawajali kwamba anayetakiwa kushauri anapoteza resources zake...
 
we umelogwa na nsyuka si bure......hushughulishi ubongo wa kati ktk kufanya maamuzi ya kukujenga.....nahisi huyo mwanaume hakuwa fair kumshushia huyo dada kichapo,ingekuwa mimi ndo jamaa ningekushushia ww kichapo hadi wale mapokezi wa mochwari ndo wangejua bado unapumua kwa mbali.Achana na mke/mpenzi/hawara wa mtu la sivyo ipo siku utang'olewa meno na msumali na nyundo akili ikukae sawa sawa.
Atapelekwa mabwepande hahaha koleo nyundo na kila zana kwa ajiri yang'olea kucha na meno ya vimeo kama hawa.
 
Jamani wanaJF nakuja kwenu na bonge la tatizo. Kwa kuwa hapa ni kigoda cha fikara naamini nitapata ushauri mzuri.
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 32. Nina mtoto 1 ambaye nilimpata nikiwa napita ktk kipindi cha balehe.Sina mke hadi sasa. Kwa muda wa miezi 12 nimekuwa ktk mahusiano yenye malengo ya ndoa na dada ambaye naye ana mtoto wa miaka 2. Dada huyu alinihakikishia kuwa mzazi mwenzie hayuko naye tena. Dada huyu pia amewahi kutembea na rafiki yangu wa karibu wa sasa kabla ya kuwa na mtoto. Hili limekuwa likinipa shida hata kumtambulisha demu huyu.
Mbali na hilo miezi 6 iliyopita nilipgiwa simu na jamaa aliyezaa naye akinisihi niachane na mkewe. Mimi nilianza kumkwepa yule dada kwa kuwa hakuwa mkweli maana alisema hana mtui. Baada ya wiki 1 yule dada alinifuata akiwa na marafiki zake 2 akadai yule mzazi mwenzie kesha achana naye na hana mpango wowote isipokuwa anamharibia tu. Mimi nikarudiana naye na nikazama vilivyo ndani ya moyo wake. Ikawa tunakula raha za kila aina za kimwili.
Wiki iliopita nilikwenda kwake bila taarifa mida ya saa 2 usiku. Nilipofika niligonga mlango mara tatu sikupata majibu. Kwa kuwa taa za sebuleni zilikuwa zinawaka nilijipa moyo kuwa huenda yupo chumbani kajilaza kitandani na amepitiwa na usingizi. Nilizunguka nyuma ya nyumba ili nimuite chumbani kwa kupitia dirishani. Niliita mara 2 bila majibu. Mara ya 3 nilikaribishwa na mwanaume aliyekuwa nyuma yangu akitokea ndani ya nyumba ninayogonga. Tulipoingia ndani yule mwanaume alimwita mara 3 yule dada kwa jina aje pale sebuleni ampokee mgeni wake ambaye ni mimi. Dada hakutoka. Ndipo yule jamaa akaniuliza `kwani wewe nani na ni nani yake?` Nikamwambia mm ni mpnz wake na nilipotaja jina langu akaniuliza unakumbuka kuna siku nimekupigia simu kukuonya uachane na mke wangu? Nikampa full story. Akaingia chumbani na kuanza kushusha kichapo kwa yule dada bila huruma, nami nikasepa faster. Leo hii ninavyoandika thread hii yule dada kamtuma rafiki yake aje kumuombea msamaha na kuahidi kumuacha kikweli kweli yule jamaa yake kwani hana malengo mazuri na yule dada kama niliyo nayo mm.
Nimkubalie ama nimkatalie? Maana dada nampenda mno. Naombeni msaada wa kimawazo, niko njia panda.

We sepa huyo demu atakuumiza kichwa. Alishagundua weakness yako. We sepa.
 
Hadi umri huo wa 32 years unakuja kuomba ushauri hapa tena na conditions kwamba unampenda sana! Mi nakushauri endeleeni kugawana hivyo hivyo huyo dada hadi ARV zitakapowatenganisha! Atakayepata feki ndyo atakuwa wa kwanza kumwachia mwenzie mzigo. Keep it up!

Ni ushauri wa ajabu lakini una ukweli. Kwa umri wako unatakiwa uwe na uwezo wa kuamua kimapenzi.

Mpaka hapo kwa huyo dada hakuna mapenzi. Hakuna. Ulitakiwa uachane naye mapema sana. Unampendaje mke wa MTU?
 
1. Huna amani rohoni kwakuwa ametembea na rafiki yako kiasi cha wewe kushindwa kumtambulisha...

2. Mumewe alikukanya uachane na mkewe, na kisha akakufumania ukimgongea mkewe....

3. Kwanini hakutoka chumbani siku uliyokwenda na kukutana na mumewe nyumbani kwao? Kwanza shukuru mungu huyo Mume ni muelewa! Ungevishwa shanga wewe...ohooo!

.....kaka!? Pamoja na kwamba unampenda lakini je? Ishawahi kukuingia akilini kwamba huenda huyo mwanamke sio Muaminifu?

Shtuka!
 
Mkuu kwanza hongera kwa kupona kudhalilishwa na mwanaume mwenzio maana hapo ndani labda ni kwake na lolote lingeweza kutokea....pili if a=b and b=c why not a=c? Nenda kwenye ibada ukamshukuru Mungu kwa kumpa huyo mwanaume hekima siku hiyo!
 
Jamani wanaJF nakuja kwenu na bonge la tatizo. Kwa kuwa hapa ni kigoda cha fikara naamini nitapata ushauri mzuri.
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 32. Nina mtoto 1 ambaye nilimpata nikiwa napita ktk kipindi cha balehe.Sina mke hadi sasa. Kwa muda wa miezi 12 nimekuwa ktk mahusiano yenye malengo ya ndoa na dada ambaye naye ana mtoto wa miaka 2. Dada huyu alinihakikishia kuwa mzazi mwenzie hayuko naye tena. Dada huyu pia amewahi kutembea na rafiki yangu wa karibu wa sasa kabla ya kuwa na mtoto. Hili limekuwa likinipa shida hata kumtambulisha demu huyu.
Mbali na hilo miezi 6 iliyopita nilipgiwa simu na jamaa aliyezaa naye akinisihi niachane na mkewe. Mimi nilianza kumkwepa yule dada kwa kuwa hakuwa mkweli maana alisema hana mtui. Baada ya wiki 1 yule dada alinifuata akiwa na marafiki zake 2 akadai yule mzazi mwenzie kesha achana naye na hana mpango wowote isipokuwa anamharibia tu. Mimi nikarudiana naye na nikazama vilivyo ndani ya moyo wake. Ikawa tunakula raha za kila aina za kimwili.
Wiki iliopita nilikwenda kwake bila taarifa mida ya saa 2 usiku. Nilipofika niligonga mlango mara tatu sikupata majibu. Kwa kuwa taa za sebuleni zilikuwa zinawaka nilijipa moyo kuwa huenda yupo chumbani kajilaza kitandani na amepitiwa na usingizi. Nilizunguka nyuma ya nyumba ili nimuite chumbani kwa kupitia dirishani. Niliita mara 2 bila majibu. Mara ya 3 nilikaribishwa na mwanaume aliyekuwa nyuma yangu akitokea ndani ya nyumba ninayogonga. Tulipoingia ndani yule mwanaume alimwita mara 3 yule dada kwa jina aje pale sebuleni ampokee mgeni wake ambaye ni mimi. Dada hakutoka. Ndipo yule jamaa akaniuliza `kwani wewe nani na ni nani yake?` Nikamwambia mm ni mpnz wake na nilipotaja jina langu akaniuliza unakumbuka kuna siku nimekupigia simu kukuonya uachane na mke wangu? Nikampa full story. Akaingia chumbani na kuanza kushusha kichapo kwa yule dada bila huruma, nami nikasepa faster. Leo hii ninavyoandika thread hii yule dada kamtuma rafiki yake aje kumuombea msamaha na kuahidi kumuacha kikweli kweli yule jamaa yake kwani hana malengo mazuri na yule dada kama niliyo nayo mm.
Nimkubalie ama nimkatalie? Maana dada nampenda mno. Naombeni msaada wa kimawazo, niko njia panda.

kwanini ulimwacha mzazi mwenzio? na je wewe mpaka mtu anakuambia ni mke unataka ushauri gani tena wewe mwambie mshikaji mke wako anakusumbua kuliko kung'ang'ana na mke wa mtu ni sumu..
 
1. Huna amani rohoni kwakuwa ametembea na rafiki yako kiasi cha wewe kushindwa kumtambulisha...

2. Mumewe alikukanya uachane na mkewe, na kisha akakufumania ukimgongea mkewe....

3. Kwanini hakutoka chumbani siku uliyokwenda na kukutana na mumewe nyumbani kwao? Kwanza shukuru mungu huyo Mume ni muelewa! Ungevishwa shanga wewe...ohooo!

.....kaka!? Pamoja na kwamba unampenda lakini je? Ishawahi kukuingia akilini kwamba huenda huyo mwanamke sio Muaminifu?

Shtuka!

ilipashwa mkuu umwekee ule uzi wa ashadii shtuka iliasome vizuri na au elewe..
 
  • Thanks
Reactions: Mbu

Similar Discussions

Back
Top Bottom