MarianaTrench
JF-Expert Member
- Dec 29, 2014
- 1,213
- 941
Ha ha ha ha haaaKwanza kwa taarifa yake masister duh huwa hawaendi chooni!
Halafu hata mimi niliambiwaga hivyo(kuwa hawaendi kule), kumbe ni kweli eh!
Ha ha ha ha haaaKwanza kwa taarifa yake masister duh huwa hawaendi chooni!
Mh Mkuu hata sina jazba, hujaelewa nini kwenye jibu langu?Punguza jazba ili ujibu hoja vizuri
Inaitwa Baby wipesYaani siku izi wadada wengi haswa warembo na wa maofisini wanamchezo wa kutembea na tishu na vijitambaa flani mfano wa tishu vinakuwa na unyevu unyevu hivi sasa kumbe hizi tissue na vijitambaa ndo wakienda msalani kukata magogo au haja ndogo wanajipangusa wanaondoka eti kisa hawataki mimaji maji mimaji yaani huu ni uchafu wa kiwango cha kimataifa ivi kwa nn mwanamke utumie tissue? Ndo maana nyuzi za maradhi yenu sehemu za siri haziishi mnatembea na uchafu haswa madada wa maofisini, wadada wa chuo na ma sister duu tishu mnajipaka vinyesi
ukipaka mavi ya kuku nyuma ya kiganja chako,ukafuta na tissue..Nina hakika hutokua na confidence ya kupalamba..lakini ukiosha kwa maji hutokua na shaka kupalamba..kwa kuwa maji husafisha kweliNi maoni yako siwezi kukupinga.
Ebwana kweli kuna mmoja nimetoka kumnyonya muda huu daaaaah nimekula sana mbolea
Maji ya Chupa unachambaje na Kuflash choo??Kiukweli maji ya public toilet sichambi nayo kuna siku nilikuta kohozi Kwenye maji bora Hizo wipes jamani. Au km ni haja Kubwa ninunue maji ya chupa. Lakini haja ndogo utanisamehe mtoa Mada.
Inapotokea dharula.....haja kubwa si unaiacha nyumbani asubuhi au?sasa kwenda kunyakunya ofisini au majengoni haja inatoka wapi au ndo wale wale kila akikata kona ni kutafuna tafuna kama nguruwe
Choo nitaflash na maji yao ya kwenye ndoo,ungejiongeza kidogo sio kila swali kuulizaMaji ya Chupa unachambaje na Kuflash choo??
Sio hamshiki tu mi najua wadada hawakati magogo kabisaKumbe wanafanya hivyo maofisini na vyuoni na siyo nyumbani. Sasa shida iko wapi? Unataka tutembee na ma jiaba ya maji mgongoni?
Nikutoe tuu tongotongo, siyo kila anayeenda chooni kashika tishu basi huko hatumii maji,
Wengine unaanza kujifuta na tishu kisha maji yanafuatia hatushiki vinyesi.
Upatikanaji na hayo maji na usalama wake ndio unachangia wadada kutumia wipes au Tissue.ukipaka mavi ya kuku nyuma ya kiganja chako,ukafuta na tissue..Nina hakika hutokua na confidence ya kupalamba..lakini ukiosha kwa maji hutokua na shaka kupalamba..kwa kuwa maji husafisha kweli
Sure, sidhani kama zinatumika kwa matumizi aliyowaza. Wenyewe nafikiri mmenielewa.Unadhani sisi tuna kazi my dear. Wale wanaokerwa na mambo yasiyo yao ndio wana kazi. Hahahaaa.
Sababu nina uhakika kwa asilimia 80 hajui hata wanawake wanatumia tishu wakati gani.
Hebu atupishe sie. Ila namshauri aende huko akarudie kuchungulia wanawake wanatumiaje tishu sababu hapo hajaona kitu. Hahahaaaa.
Umemaliza Yote. Nina zawadi yako ya krsmasAsante kwa mada hii nzuri. Nakubaliana na wewe kwamba Dada zetu wanakumbwa na matatizo lakini sikubaliani na jinsi mada ilivyowananga kwani kuna mazingira magumu kwa dada na mama zetu kwenye mazingira yanayowazunguka.
Kwenye maeneo mengi ya maofisi vyoo ni vibaya kwakweli, mazingira sio masafi, na hakuna maji ya kutosha. Hapa nazungumzia ofisi za kawaida ambapo ndipo wengi wanafanya kazi.
Unakuta choo kina maji kwenye ndoo na kopo chafuuuu ambapo kutumia tu ni kinyaa,yaani hauwezi kuligusa kwa sababu ukiligusa halafu akashika huko chini kujisafisha basi hilo ni tatizo lingine.
Mfano wa kweli: kuna kanisa moja nasali,vyoo vyake havina maji ya bomba hadi ndani halafu ni vidogo kwahiyo wameweka maji nje ya mlango kwenye mandoo makubwa yale. Kwahiyo mwanamke huyu(sista duu) kama tunavyowasema itabidi achote maji kwenye kopo aingie nalo chooni halafu aweke lile kopo chini ili avue nguo akimaliza achukue kopo ajisafishe halafu aliache hapo na mwingine akija aende akaingize kwenye ndoo na utaratibu uendelee hivyo hivyo.
Kwahiyo kuna mazingira magumu sana kwa dada na mama zetu katika mazingira yanayowazunguka ambayo sio hatari sana kwa sisi wanaume.
Zamani tulikuwa tunajenga majengo bila kujali miundo mbinu ya wenye ulemavu lkn tunajitahidi kutoka huko. Sasa kwenye suala la wanawake inabidi pia lichukuliwe kipaumbele wakati tunatengeneza miundo mbinu kwa kuzingatia hali zao ili wawe na faragha wakati fulani ili kuwaepusha na haya magonjwa ya bacteria na UTI na kuwashwa. Vyoo vyao viwe vingi na vyenye miundo mbinu ya usafi.
Hata wao wanapenda kuwa wasafi, hawapendi kukaa wanawashwa huko chini ila mazingira ndio hayo tumewasukumia na badala ya kuwatetea na kutafuta suluhu tunaanza kuwasema!
Poleni Dada zangu

Wewe siumesema hugusi vyombo vyao wala ndoo zao, Sasa hio bottle unayonunua na hako kamdomo kake si kanatoa maji machache mbonà naona uchafu tuChoo nitaflash na maji yao ya kwenye ndoo,ungejiongeza kidogo sio kila swali kuuliza