Masister duu na wanawake wa maofisini mnatembea na vinyesi

Mtoa maada usishangae kwani dunia inazunguka sasa hivi tunarudi enzi za kunya vichakani na kujifuta na majani (wameboresha sasa wanatumia tishu)
 
Eeh makubwa
Kwan tissue ni shda kutembea Naz0!!
Wew unajua je hawatumi maji?
Acha kubashiri
 
Unadhani sisi tuna kazi my dear. Wale wanaokerwa na mambo yasiyo yao ndio wana kazi. Hahahaaa.

Sababu nina uhakika kwa asilimia 80 hajui hata wanawake wanatumia tishu wakati gani.

Hebu atupishe sie. Ila namshauri aende huko akarudie kuchungulia wanawake wanatumiaje tishu sababu hapo hajaona kitu. Hahahaaaa.
wanawake wengi hasa wa maofisini huwa wanalowa chini kwa wengi wao kutomaswatomaswa na mabosi wao,hivyo hawawezi kaa mbali na tishu kujipangusa
 
Jamaa yuko sawa kwa namna moja au nyingi maji ni kitu cha muhimu wakati huo tussue na ile kitambaa ya unyevu nyevu inatakiwa itumike baada ya maji, sie wadeki bahari na mito hiyo tunakutana nayo sana
 
Ms.Lincoln said:
Hivi unawezaje kubanwa na haja kubwa ofisini?
Umeona! Aibu iliyoje! Kila kitu maliza asbh kabla ya kuondoka home. Na hii inawezekana kabisa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom