Abnormal
JF-Expert Member
- May 6, 2017
- 625
- 1,488
wewe unataka vitu vya jeshi unadhani utavipata wapi kama sio jeshini?Sa unaniambia niende lugalo ile si kambi ya jeshi yani sawa sawa na useme niende kuiba kituo cha polisi
wewe unataka vitu vya jeshi unadhani utavipata wapi kama sio jeshini?Sa unaniambia niende lugalo ile si kambi ya jeshi yani sawa sawa na useme niende kuiba kituo cha polisi
Ebu tulia wanaojua wajewewe unataka vitu vya jeshi unadhani utavipata wapi kama sio jeshini?
ukipata nijulishe sawa kijana?Ebu tulia wanaojua waje
umeamua ujipe mashavu.. Nice..