ntita
JF-Expert Member
- Dec 31, 2013
- 513
- 285
Wanajamvi nawasalimu..
Naandika haya nikiwa na masikitiko makubwa baada ya kushindwa kulinda mapato ya nchi yangu.
Rais wangu mpendwa amekua akisisitiza kudai risiti halali pale unapofanya manunuzi ili kuiepusha serikali na ukwepaji wa kodi hasa kipindi hiki ambacho kama taifa tunatakiwa kwa miguu yetu.
juma lililopita nilienda kufanya manunuzi ya mashine flani kubwa kwenye duka la WAHINDI kariakoo, kwa kukumbuka agizo la rais ikabidi niombe risiti, cha kushangaza nilipewa risiti ambayo ina nusu ya bei niliyonunulia nami kwa kua ni mara yangu ya kwanza nikashindwa nireact vipi nikapokea risiti na kuondoka.. Kinachoniuma zaidi ni kua duka lile ni la WAHINDI ambao ni kama wamenitumia kujiibia huku wao wakijineemesha kwa kukwepa ulipaji wa kodi.. wakati kwenye nchi yao huko wameendelea na sidhani kama huwa wanakwepa kodi..
USHAURI.
najua maafisa wa ukusanyaji mapato wanapita humu (japo hata wao wanaweza kuwa ni wamiliki wa maduka yanayokwepa kodi).. nawaomba waunde timu maalumu kwa wjili ya ukwepaji huu wa kodi.. ambapo wanaweza kwenda tu Kujinunulisha kifaa chochote then.. wakadai risiti na watakapopewa risiti ambayo si halali basi watakua wamewakamata wezi..
naamini hii inaweza kuondoa ukwepaji wa kodi na mwisho tukapata mapato ambayo yatasaidia ktk utoaji wa huduma za jamii.