Josorobert
JF-Expert Member
- Sep 14, 2015
- 629
- 215
Ni hatari, wanakatwa kila kona wanayopita.
Rudisha chooni ulikotoa. Tena koma kuharibu nyuzi za ukawa lofa wewe
ni sawa tujitambue, mwambie huyo kichaa mwenzio aache kuweka mapicha kwenye uzi za ukawa. Aanzishe za kwake fresh
mleta uzi bila shaka ndani ya kichwa chako mna friji hivyo ubongo wako umeganda.HAYA KIMBIA LUMUMBA UKACHUKUE BUKU SABA YAKO MANA MIDA YA LANCH HII.
Hatimaye ngome ya Chadema imevunjwa na waliokuwa viongozi wa chadema jimbo la Kahama kutokana na kutokubaliana na ujio wa James Lembeli katika jimbo hilo huku wazawa, wazalendo na waanzilishi wa chadema katika jimbo hilo wakitupiliwa mbali. Wanachama na viongozi hao wamesema hawako tayari kubuluzwa na wameamua kufanya maamuzi magumu kwa maslahi mapana ya Taifa.

Ma....ku mkubwa weeeeHatimaye ngome ya Chadema imevunjwa na waliokuwa viongozi wa chadema jimbo la Kahama kutokana na kutokubaliana na ujio wa James Lembeli katika jimbo hilo huku wazawa, wazalendo na waanzilishi wa chadema katika jimbo hilo wakitupiliwa mbali. Wanachama na viongozi hao wamesema hawako tayari kubuluzwa na wameamua kufanya maamuzi magumu kwa maslahi mapana ya Taifa.
Hatimaye ngome ya Chadema imevunjwa na waliokuwa viongozi wa chadema jimbo la Kahama kutokana na kutokubaliana na ujio wa James Lembeli katika jimbo hilo huku wazawa, wazalendo na waanzilishi wa chadema katika jimbo hilo wakitupiliwa mbali. Wanachama na viongozi hao wamesema hawako tayari kubuluzwa na wameamua kufanya maamuzi magumu kwa maslahi mapana ya Taifa.
Rudisha chooni ulikotoa. Tena koma kuharibu nyuzi za ukawa lofa wewe
Makamanda tujitambue, kuna maisha baada ya uchaguzi.
Ndo yeye mkuu kazi ipo Lembeli aongeze bidii huyu jamaa alishaanza harakati enzi ya mkapa si wakupuuzwa.Eenhe,ebu tupia vitu!Hv yule Kishmba anayegombea Kahama ndo huyo wa Imalaseko?
Shingo yako isha elekezwa kibla😼😼😼Rudisha chooni ulikotoa. Tena koma kuharibu nyuzi za ukawa lofa wewe