Masikitiko: James Lembeli kupigwa chini

Masikitiko: James Lembeli kupigwa chini

Yaani ubabaishi kama huuu tumewachoka jamaniiii miaka hamsini imetosha
 
Bandundu nadhani wewe kichwa chako kina barafu limegandisha ufahamu wako umekuwa, zuzu
 
Hatimaye ngome ya Chadema imevunjwa na waliokuwa viongozi wa chadema jimbo la Kahama kutokana na kutokubaliana na ujio wa James Lembeli katika jimbo hilo huku wazawa, wazalendo na waanzilishi wa chadema katika jimbo hilo wakitupiliwa mbali. Wanachama na viongozi hao wamesema hawako tayari kubuluzwa na wameamua kufanya maamuzi magumu kwa maslahi mapana ya Taifa.
maslahi ya Taifa au maslahi binafsi??
 
Hatimaye ngome ya Chadema imevunjwa na waliokuwa viongozi wa chadema jimbo la Kahama kutokana na kutokubaliana na ujio wa James Lembeli katika jimbo hilo huku wazawa, wazalendo na waanzilishi wa chadema katika jimbo hilo wakitupiliwa mbali. Wanachama na viongozi hao wamesema hawako tayari kubuluzwa na wameamua kufanya maamuzi magumu kwa maslahi mapana ya Taifa.

Huyu lembeli ubunge atauskia kwenye radio
 
Ebana huu ndo ukichaa uliokubuhu,zungumzeni fact, toa uthibitisho kwa kupinga hoja.

Yan unatak watu wabishane kuhusu habar za udaku???...hauna factz arf unataka factz!!!!!nonsens
 
sio kubuluzwa ni kuburuzwa. Hivi ccm na ahadi zake mtaongelea lini. maana hapa jukwani 24-7 ni lowasa. ukawa na chadema.muda unazidi kwenda na magufuli haeleweki zaidi ya pushup. kupiga ngoma. kukata viuno na kuchanganya libya na iraq. lakini ukiuliza watu ahadi za magufuli hakuna anayejua.!!
 
Back
Top Bottom