juvenile davis
JF-Expert Member
- Apr 13, 2015
- 4,752
- 4,463
Kama heading inavojieleza hapo juu.masikio tangu huwa yananiwasha mara kwa mara,nikifikicha na pamba au kidole huwa kunatoka vitu kama nta iliyogandia na kukauka.sasa sijajua tatizo ni nini?? Kuhusu suala la usafi kiukweli najitahidi sana.nasafisha kila mara na maji ,ila uchafu hauishi na ni kama ni bakteria fulani hivi maana nikifikicha huwa kunatoka harufu mbaya sana na huwa hizo nta au pumbapumba haziishi,,nifanyeje??