Masikini Tanzania, huyu ndiye mfano halisi wa vijana wake wasomi...na wako wengi!

Ritz bwana huwa ananifurahisha kwa kukurupuka mada inazungumzia vijana yeye kaja na list ya wazee. Njaa hizi inasababisha atetee kila kitu ili lumumba wamkumbuke
 
Last edited by a moderator:
Hana usomi wowote ni mburula tu huyu,sawa na hao watetezi wake hapa badala ya kujenga hoja wanaharisha maneno yaso mizani na mada.
 
Naipenda sana JF kwa kutunza kumbukumbu...

Miezi sita baadaye na mtu ni yule yule!

Sina la kuongeza...nawaachia MaGT wa JF!

Ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha! haaaaaaaaah!,(Ameipata! ameipata! ameipata hiyoo!, Kwenzi moja manundu 10000) Nimefurahi kweli hapo leo Duuh! Mkuu uliyemuanika hv amekukosea nini huyu mwana wa mwenzio!?
 
Naipenda sana JF kwa kutunza kumbukumbu...

Miezi sita baadaye na mtu ni yule yule!

Sina la kuongeza...nawaachia MaGT wa JF!

Amegundua kuwa chama cha mapinduzi madhubuti ndio nguzo ya pekee na imara ya kuisimamisha Tanzania. Huko CHADEMA alipokuwa, hakumfai kabisa huyu ndugu, kwani kuna mambo ya kiubaguzi kutokana na ukanda, kuna ukiritimba wa kiundugu undugu, udini uliokithiri na hakuna kauli ya pamoja ndani ya chama, viongozi hawana maamuzi na kama wanayo basi hawayasimamii.

Ndio sababu zilizomtoa bwana mkubwa CHADEMA, It should be obvious to most of you who stand for the thruth.
 
Tatizo lako Ritz hutumii akili yako kufikiri, akili yako yote umemkabidhi mzee wako chauchochezi Mohamed Said aitumie kuendeshea mihadhara ya kumtusi Nyerere! Mkuu Mag3 katuletea aliyoyaona yeye kuhusu kinyonga Lukosi, wewe kama unawafahamu vinyonga wengine ilikuwa uwaweke hapa na ushahidi kama alivyofanya Mag3. Lakini kwakuwa unafikiri kwa makamasi umeshindwa na ukaja na nyimbo zilezile za Mohamed! wewe ni wakupuuzwa huna manufaa yoyote.

Huna lingine kamanda.
 
Ritz bwana huwa ananifurahisha kwa kukurupuka mada inazungumzia vijana yeye kaja na list ya wazee. Njaa hizi inasababisha atetee kila kitu ili lumumba wamkumbuke

Tatizo mie na wewe umri tofauti Shibuda kwangu ni kijana kwako ni umri wa mzazi wako unaona tofauti.
 
Last edited by a moderator:
Mag3,
Nashukuru kwa kuuliza swali
Kwanza kabisa nikusahihishe kabla makamanda hawajaanza kutokwa povu hapa, Mimi sio msomi na ila NIMEELIMIKA, elimu yangu ni sawa tu na ya DJ.

Hizo post zote hapo juu nilizitundika mie mwenyewe na nakiri kuwa katika makosa niliyowahi kuyafanya duniani, Kujiunga na chadema lilikuwa kosa kubwa kabisa katika maisha yangu na sitolisahau maishani.

Mie kujiunga chadema nilikuwa nimepotea na bila kujijua nikajikuta katikati ya maandamano yasiyo na kibali. Lakini niliyashtukia makosa hayo na kuamua kurudi nyumbani

Nawasikitikia vijana wenzangu ambao bado wako chadema kwani wako kwenye basi lenye madereva watatu ambao hawaelewani, wameacha kuendesha basi na sasa wanavutana kuhusu nani aendeshe hilo basi mwaka 2015, Dereva mmoja ni kijana na mwingine ni mtu mzima akisaidiwa kwa ukaribu na mwenye basi. Kuna huyu dereva mwingine kutoka singida yeye bado hajaonyesha nia lakini najua muda wowote na yeye atasema anataka kuendesha na hapo ndio tutasikia mengi sana na akina Ben saa nane once again watakuwa very bize hapa JF kutoa matamko

Chadema sio chama kamili cha kisiasa kama vile wengi wanavyodhani, chadema ni mkusanyiko wa wapiga deals wanaotegemea siku wakiingia ikulu wafanye kweli, Hebu fikiria nchi ichukuliwe halafu unakuwa na mawaziri kama sugu na lema????

Nina uhakika vijana wengi wakijitambua wataiga mfano wangu na kurudi nyumbani CCM tulijenge taifa

Vijana msikubali kutumiwa kwa kufanywa chambo cha vurugu na maandamano yasiyo na vibali kuwapatia umaarufu watu wachache ambao ninakuhakikishieni, siku wakipata wakitakacho watawaona kama nzi tu

Mfano mzuri ni yule muandishi wa habari wa mjengwa (sio LUDO ) aliepanda basi kwenda Dar kuhudhuria harambee iliyofanyika serena hotel, kijana alitumia akiba yake yote kwenda dar baada ya kualikwa na lema kupitia mimi. Kijana alipofika nje ya hotel Lema alimfuata nje na kuchukua ule mchango lakini hakumruhusu kuingia ndani, Kijana alikaa nje mpaka saa saba usiku bila mafanikio kuingia ndani kisa alkikuwa hafanani na waliokuwemo ndani na alikuwa akionekana kamanda mchovu tu. Mmie ilibidi nimtumie nauli yule kijana na kumlipia hotel arudi Iringa. Mpaka leo kijana hajui hata kama mchango wake ulifika au la na alisikitika sana jambo ambalo ni moja tu ya mambo yaliyonifanya niwashtukie chadema kuwa they are just deal makers.

Ukiniuliza tena nitamwaga mboga
 
Yani huyu chris bwana ana chekesha sana eti mh rais ametiza ahadi zake, sijui ana mzungumzia rais gani hapa labda wa china!
Yani bila aibu unasema rais ametimiza ahadi zake wakati hata maji ubungo kizungumkuti!

Nitaigeuza kigoma kama Dubai-jk
 
Najua ulijiunga chadema kipindi hicho ukiwa na akili timamu kabisa hebu tudokeze kilicho kufanya ujiunge chadema!

Mag3,
Nashukuru kwa kuuliza swali
Kwanza kabisa nikusahihishe kabla makamanda hawajaanza kutokwa povu hapa, Mimi sio msomi na ila NIMEELIMIKA, elimu yangu ni sawa tu na ya DJ.

Hizo post zote hapo juu nilizitundika mie mwenyewe na nakiri kuwa katika makosa niliyowahi kuyafanya duniani, Kujiunga na chadema lilikuwa kosa kubwa kabisa katika maisha yangu na sitolisahau maishani.

Mie kujiunga chadema nilikuwa nimepotea na bila kujijua nikajikuta katikati ya maandamano yasiyo na kibali. Lakini niliyashtukia makosa hayo na kuamua kurudi nyumbani

Nawasikitikia vijana wenzangu ambao bado wako chadema kwani wako kwenye basi lenye madereva watatu ambao hawaelewani, wameacha kuendesha basi na sasa wanavutana kuhusu nani aendeshe hilo basi mwaka 2015, Dereva mmoja ni kijana na mwingine ni mtu mzima akisaidiwa kwa ukaribu na mwenye basi. Kuna huyu dereva mwingine kutoka singida yeye bado hajaonyesha nia lakini najua muda wowote na yeye atasema anataka kuendesha na hapo ndio tutasikia mengi sana na akina Ben saa nane once againa watakuwa very bize hapa JF kutoa matamko

Chadema sio chama kaili cha kisiasa kama vile wengi wanavyodhani, chadema ni mkusanyiko wa wapiga deals wanaotegemea siku wakiingia ikulu wafanye kweli, Hebu fikiria nchi ichukuliwe halafu unakuwa na mawaziri kama sugu na lema????

Nina uhakika vijana wengi wakijitambua wataiga mfano wangu na kurudi nyumbani CCM tulijenge taifa

Vijana msikubali kutumiwa kwa kufanywa chambo cha vurugu na maandamano yasiyo na vibali kuwapatia umaarufu watu wachache ambao ninakuhakikishieni, siku wakipata wakitakacho watawaona kama nzi tu

Mfano mzuri ni yule muandishi wa habari wa mjengwa (sio LUDO ) aliepanda basi kwenda Dar kuhudhuria harambee iliyofanyika serena hotel, kijana alitumia akiba yake yote kwenda dar baada ya kualikwa na lema kupitia mimi. Kijana alipofika nje ya hotel Lema alimfuata na kuchukua ule mchango lakini hakumruhusu kuingia ndani (haya ni maelezo ya yule kijana) Kijana alikaa nje mpaka saa saba usiku bila mafanikio kuingia ndani kisa alkikuwa hafanani na waliokuwemo ndani na alikuwa akionekana kamanda mchovu tu. Mmie ilibidi nimtumie nauli yule kijana na kumlipia hotel arudi Iringa. Mpaka leo kijana hajui hata kama mchango wake ulifika au la na alisikitika sana jambo ambalo ni moja tu ya mambo yaliyonifanya niwashtukie chadema kuwa they are just deal makers.

Ukiniuliza tena nitamwaga mboga
 
Mag3,
Nashukuru kwa kuuliza swali
Kwanza kabisa nikusahihishe kabla makamanda hawajaanza kutokwa povu hapa, Mimi sio msomi na ila NIMEELIMIKA, elimu yangu ni sawa tu na ya DJ.

Hizo post zote hapo juu nilizitundika mie mwenyewe na nakiri kuwa katika makosa niliyowahi kuyafanya duniani, Kujiunga na chadema lilikuwa kosa kubwa kabisa katika maisha yangu na sitolisahau maishani.

Mie kujiunga chadema nilikuwa nimepotea na bila kujijua nikajikuta katikati ya maandamano yasiyo na kibali. Lakini niliyashtukia makosa hayo na kuamua kurudi nyumbani

Nawasikitikia vijana wenzangu ambao bado wako chadema kwani wako kwenye basi lenye madereva watatu ambao hawaelewani, wameacha kuendesha basi na sasa wanavutana kuhusu nani aendeshe hilo basi mwaka 2015, Dereva mmoja ni kijana na mwingine ni mtu mzima akisaidiwa kwa ukaribu na mwenye basi. Kuna huyu dereva mwingine kutoka singida yeye bado hajaonyesha nia lakini najua muda wowote na yeye atasema anataka kuendesha na hapo ndio tutasikia mengi sana na akina Ben saa nane once again watakuwa very bize hapa JF kutoa matamko

Chadema sio chama kamili cha kisiasa kama vile wengi wanavyodhani, chadema ni mkusanyiko wa wapiga deals wanaotegemea siku wakiingia ikulu wafanye kweli, Hebu fikiria nchi ichukuliwe halafu unakuwa na mawaziri kama sugu na lema????

Nina uhakika vijana wengi wakijitambua wataiga mfano wangu na kurudi nyumbani CCM tulijenge taifa

Vijana msikubali kutumiwa kwa kufanywa chambo cha vurugu na maandamano yasiyo na vibali kuwapatia umaarufu watu wachache ambao ninakuhakikishieni, siku wakipata wakitakacho watawaona kama nzi tu

Mfano mzuri ni yule muandishi wa habari wa mjengwa (sio LUDO ) aliepanda basi kwenda Dar kuhudhuria harambee iliyofanyika serena hotel, kijana alitumia akiba yake yote kwenda dar baada ya kualikwa na lema kupitia mimi. Kijana alipofika nje ya hotel Lema alimfuata nje na kuchukua ule mchango lakini hakumruhusu kuingia ndani, Kijana alikaa nje mpaka saa saba usiku bila mafanikio kuingia ndani kisa alkikuwa hafanani na waliokuwemo ndani na alikuwa akionekana kamanda mchovu tu. Mmie ilibidi nimtumie nauli yule kijana na kumlipia hotel arudi Iringa. Mpaka leo kijana hajui hata kama mchango wake ulifika au la na alisikitika sana jambo ambalo ni moja tu ya mambo yaliyonifanya niwashtukie chadema kuwa they are just deal makers.

Ukiniuliza tena nitamwaga mboga

Mkuu Chris Lukosi,

Maneno mazito haya binadamu anafanya makosa na kuyajutia makosa na kuyaacha.
 
Last edited by a moderator:
Kuanzia leo nimekudharau sana Lukosi kuliko ulivyowahi kudharauliwa na mtu yeyote tangu ulipozaliwa , sitakupa ushirikiano wowote , ikiwa ni pamoja na kutochangia chochote katika uzi wowote utakaoanzisha hapa jf , hata kama unahusu dawa ya ukimwi itakayogunduliwa ! Naona aibu sana kwa hili jambo lako , ingekuwa Facebook ningeku block .
 
Lukosi, hutumii akili na hili ndio tatizo la nyie mnaojiingiza kwenye siasa kwa lengola kujinufaisha matumbo yenu! Kwani yale matatizo ya CCM kufananishwa na injini mbovu yaliisha lini? Jibu hoja wala usitangaze kufungwa kwa mjadala ambao hukuuanzisha wewe. Unafiki na uchumia tumbo utakuletea mauti ndugu yetu. Na kwa taarifa yako hata hao maCCM wanakudharau ile mbaya!mjinga wewe.
Aisee,
Kumbe ukihama Chadema unaweza kukutwa na mauti??
Hivi nyie watu mnadhani kila mtu anatishika na kivuli?
Mie niko mitaani kila siku na nakuja Iringa mjini soon , sasa wewe kama unataka kunitishia nyau nakukaribisha tukutane.
Watekeni wale wasio na hata mafunzo ya kujilinda, mimi nimekamilika na sio tu ni ex-cop bali ni zaidi ya hapo
Kenge hamtishi mamba hata siku moja na ndio maana na post coments hapa nikiwa verified user.
Kabla sijahama hapo niliweza kunyoosha kidole bila kuogopa sembuse wewe unaetisha huku umejificha?
Wanaonifahamu watakuambia
I AM LUKOSI, The river that never dry!
Kabla hujafikiria kitu nenda kakaushe mto Lukosi kwanza
 
Back
Top Bottom