Masikini Sitti Mtemvu

Masikini Sitti Mtemvu

Kumbe uzee hadi mlimani city......................... barrier ya chalinze ilitolewa lini?
 
A.png


If care is not taken, this girl can commit suicidooool!!!


Sitti alichemsha kwa kweli. Lundenga anamaliza mabinti zetu kwa kuwakopa uroda ili awape umiss. Nani anyongwe hapa, Lundenga, wazazi wa Sitti, Sitti mwenyewe, au aliyetoa cheti kipya cha kuzaliwa bila kufuata taratibu?
 
tunadanganyika kila siku sishangai hamna tatzoo kwahiloo,daadddyyyy kwan sittii anamiaka mingapi,anaonekana kama mbibi kwan yule ana miaka mingapi
 
Mweee ishakuwa kesi SIO sitti mie,nduki :llama: :llama::llama::llama::llama:

Haah basi bwana unataniwa,baadae tunaweza kuambiwa pia Sitti bado ni kigori ..na hapo mtabisha?
 
Hakuna siasa hapo......dogo kasema uongo, avuliwe taji na Lundenga atoe press conference
 
Back
Top Bottom