Mtetezi.com
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 3,134
- 3,613
- Thread starter
- #21
Sio kweliMaana hapo kwa nyie matajiri ndio mtakua mnalipa hadi kodi ya nyumba
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio kweliMaana hapo kwa nyie matajiri ndio mtakua mnalipa hadi kodi ya nyumba
Maboya sio sisi hustler wa ukweliwewe matajir ndo wanaongoza kuhonga tuulize sisi chawa.
Asiyejiweza hata vocha kwetu BIG NOWewe tajiri ukikutana na mtoto wa maskini.mfano ( mwanamke) Ukamsaidia ndo umemuhonga?
Tajiri akimpenda maskini nini kinatokea? Si lazima tariji afungue pochi ama??
Hata vochaNajiuliza tu "MIE NA UKAPUKU WANGU, ndio nahonga nini!!??"
Mungu akufanyie wepesi nduguMna raha sana matajiri maana mimi bado niko kwenye stage mbaya kiuchumi maana nakula mlo mmoja kwawsiku, kipato changu ni kubahatisha maana kibarua nafanyia elfu tatu kwa siku, lakini nina imani kuna siku nitatoboa na naomba niwape nguvu maskini wenzangu tutatoboa kikubwa imani tusione aibu kuchekwa kwa umaskini wetu, Wapambanaji wenzangu tupambane masela na siku tukipata tutawasaidia wahitaji wengine,Iko siku tu.
Mungu ni mwema !Tupambane mkuu iko siku tutatoboa wala usikate tamaa mimi pia fukara maana kuna kucha kwa bahati sana lakini imani ninayo.
Naishi chini ya dola 1.
Sasa huyo maskini anahonga nini wakat hana kila kitu au me ndo sijaelewa?Ktk nyanja zote za maisha ili masikini afanikiwe ni lazima ahonge iwe police, kazi, mapenzi, mahakamani nk.
Masikini ninayemwongelea hapa ni wa kipato kisichozidi million moja kwa mwezi na si fukara ambaye kipato chake ni chini ya 150K.
Ukiwa masikini ili upate haki lazima uhonge, ili upate mpenzi lazima uhonge, ili upate kazi lazima uhonge, ili upate huduma nzuri za afya lazima uhonge.
But kwa matajiri ni tofauti kabisa;
Kwenye Afya_ Wana hospitali zao zisizo na foleni wala usumbufu wanalipa according to the service provided.
Kwenye Kazi; Wanapeana huyu mtoto wa fulani hebu mpe kazi hapo yani ni simu moja tu!
Kwenye Mahakama_ Wana mawakili wasomi wanaosimama nao popote but kwa masikini kupata wakili lazima uhonge.
Kwenye Mapenzi_ Wanatumia titlle zao tu kukutana na kupata watoto wakali wanaokutana nao shoping malls, Supermaket, Ofisini, Petrol stations etc
NB; Ukimwona tajiri anamhonga mwanamke jua kuna mambo mawili 1, Ana maradhi anataka kuambikiza kwa maksudi, 2, Ni domo zege wa kuzaliwa.
VIJANA TAFUTENI PESA ACHENI KUSHINDA GYM NA MITANDAONI.
KISA;
Mimi nimepitia maisha yote yani ya umasikini na uahueni yani kuweza kumiliki gari sio chini ya 3, nyumba na kumiliki diffrent bussiness as a source of income..
Nilipokuwa alosto yani kipindi ninaishi magetoni tena uswahilini, ninatembea kwa miguu ilikuwa ukiwa na demu lazima akupige mizinga mara hela ya luku, mara ya kusukia, mara ya vijora mara vocha, mara mama anaumwa etc.
But toka nimeukataa umaskini madem ninaodate nao yani burudani kabisa yani!
1,No ninaomba vocha
2,No Naomba hela ya saloon
3,No Ninaomba hela ya luku
4, No sare za vijora
5, No nitumie na ya kutolea
Ama kweli kwenye miti hakuna wajenzi na kwenye wajenzi hakuna miti!
VIJANA TAFUTENI PESA MUACHE KUHONGA.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ambae hawezi hata vocha si watoto wa shule?