Masikini mtaji wangu wa korosho!!

Masikini mtaji wangu wa korosho!!

ndiyo maana huwa mnaambiwa mkifika ulizeni wenyeji sasa wewe uliwahi ili hali wenyeji hawakutambui siku nyingine utakuwa umejifunza supu mama yako hapo uliua
 
Hahahah pole sana mkuu, pale alipojifanya ana kipindi eti kinaisha saa 4usk ilibidi umshtukie ana subiri mida ya bata huyo
 
Dah nilikuwa sijacheka vizuri kama miezi sita hivi. Shukrani kwa kunivunja mbavu leo nitalala vizuri
 
Nawatakia Heri ya mwaka mpya wakuu.
 
Back
Top Bottom