Hahahahha.Pole sana Mkuu.Ilikua majira ya jioni nilipotoka nyumbani kwetu mtwara kuelekea dar es salaam.Kuna demu Fulani ambaye tulisomanaye shule ya msingi jina lake Monica nilikua namzimia mno hasa kwa uzuri wake pamoja na tabia ya uchangamfu ila sikuwahi muambia kwamba namtaka.Ni miaka mingi mno ilipita bila mawasiliano naye hadi ilipofikia mwezi wa tisa mwaka jana nilipopata contacts zake na nikaambiwa yupo chuo kimoja dar es salaam anasoma masuala ya tourism and hotel management.
Baada ya kuwasiliananae kwa wiki kama mbili mfululizo, basi tukapanga niende dar nikamsalimie na mimi nikaona itakua ndio chance ya kumueleza ya moyoni.
Basi siku ilipofika(ilikua jumamosi) mwanaume nikaingia dar kisha nikaenda kwa wakala nikatoa sh 60 elfu nikiamini tutakula bata na nauli ya kurudia itabaki kwani ni nyingi sana kwa watu ambao hatutumii pombe.Baada ya hapo nikamvutia waya tukutane akaniambia kua atachelewa maana wanakipindi cha usiku kinaanza sa 2 hadi saa 4 usiku , ivyo nikaenda kupoteza muda kwa mshkaji wangu maeneo ya mwenge nikisubiri saa 4 ifike.
Muda ulipofika akanipigia simu tukutane makumbusho nami nikafanya ivyo.Nilipofika sikuamini macho yangu maana alikua na wenzake watatu na wote wamevaa viskirt vifupi mno kama wale wadada wanaojiuza itigi na kaumba pale morogoro.nikajipa moyo kwamba huenda Monica ameadapt tu mavazi ya mjini ila tabia yake bado ni njema.Kwakua yeye ndio mwenyeji wangu nikamuuliza anachagua twende wapi ili tukazungumze akaniambia kuna sehemu moja mitaa ile inaitwa "maisha basement" nami sikutaka kuonekana mshamba nikasema kweli huko "Itapendeza".
Tulipofika mlangoni inabidi kulipia kiingilio kuuliza ni kiasi gani wakasema elfu 10 ,hapo jumla tupo watu 5.Nilitamani nikimbie maana mfukoni kutoka kwenye ile 60 nilikua nimebaki na kama 55 elfu.nikitoa iyo 50 na hapo hatujaingia ndani kunywa soda[emoji23] [emoji23] .Nikiangalia huku na huku watoto wamenizunguka na vinguo vyao wakinipepea kama doctar shika kwenye mnada wa nyumba za lugumi[emoji23] [emoji23] [emoji23] .Ikabidi nitoe tu wakashangilia shemeji shemeji shemeji[emoji23] [emoji23] huku Mimi akili zimenivuruga hata sijui huko ndani itakuaje namimi ni shemeji yao kwa nani maana kila mtu ananita shemeji hadi monica.Basi kwa bahati mbaya mno(ambayo kwa mle ilikua bahati nzuri),mle club kuna wakala wa mpesa,tigo pesa n.k ivyo nikachomoa elfu 25 ivi nikiamini itatosha.Tukaenda moja kwa moja kaunta kuchukua vinywaji hapo ndio nguvu ziliniisha,yaani wale watoto nahisi walinipania maana kila mmoja aliagiza Heineken. Hapo mimi ikabidi nisioneshe ushamba wangu nikasema namimi iyo iyo[emoji23] (hapo sijawahi kunywa hata siku moja).kuuliza bei naambiwa kila moja mle club ni elfu tano ivyo ile 25 yote ikateketea kwa round moja aisee nilibanwa hadi na haja kubwa[emoji31] .nilipoanza kunywa niliona ina uchungu Fulani lakini nikawa najikaza ili nisichekwe ,basi nikawa nakata ya kukata ili nionekane mzoefu kumbe ndio naprove ushamba wangu.Baada ya kumaliza ile chupa nikapata mzuka wa ajabu ambao sijawahi upata maishani nikaingia dancing floor nikacheza hatari nikawa navamia vamia mademu wa watu ovyo ovyo hadi wakata wanifumue wananchi wenye hasira Kali.Nikaenda kwa wakala kwa lengo la kutoa laki moja ili kama bata na iwe bata,kumbe kidem kimoja kati ya vile kinanifata kikanishika begani nikiwa dirishani kwa wakala kikaniuliza shemeji unatoa sh ngapi? Nikakiambia "laki moja".kikanicheka kwa dharau alafu kikaniambia mbona ndogo ivyo au unataka ukalie chips?Mda huo nimeshapiga bia yangu moja kichwani imepanda nikasahau kabisa kwamba pesa izo ni za mtaji wa korosho.Nikaona nisijishushe mbele ya watoto wazuri basi nikatoa laki 3 kabisa.kile kidemu kwa nyodo eti kikasema "hapo nafuu"[emoji23] [emoji23] (mambo mengine yanauzi ila inabidi wakati mwingine mtu ucheke tu).basi tukaendelea kucheza na kunywa huku wazo langu baada ya kunywa likawa sio kuongea na Monica kuhusu kumtaka Bali kumtafuna yoyote kati yao usiku ule.Nilipo maliza bia ya pili tu nikaacha kuelewa yote yanayoendelea zinazofata nilikua nakunywa tu kama maji hadi nilipopitiwa na usingizi.
Nimekuja kushtuka mida ya saa nne asubuhi nimelala chini kwenye tires katika chumba kikubwa.nikashtuka ghafla nikasimama, nikawaona Monica na rafiki zake bado welala kwenye kitanda huku wamechoka mno hapo ndio nikagundua tupo kwenye hotel ya ghalama kwasababu ya mazingira ya mle ndani.Nikamwamsha monica kumuukiza tumefikaje pale na nani kalipia chumba akasema mimi mwenyewe ndio nilimkabidhi wallet na nikamwambia atumie anavyotaka kwani nampenda ivyo akaona tuje hotel na alilipa laki na nusu(pombe sio chai).Nikamuuliza
kwanini wao walale kitandani alafu Mimi chini akaniambia eti nilisema Mimi ni mwanaume popote kambi ivyo wao wajinafasi(ugentlemavi).yani yote hayo sikumbuki kabisa.Nikaangalia message kwenye simu nikakutana na miamala ya hatari,nikamwomba wallet yangu nakuta haina kitu.Nikaenda toilet fasta maana nilihisi kuharisha.nilipofika nikajikamua[emoji21] hakitoki kitu.Nikaanza kukumbuka nilivyozipata izo hela kwa tabu alafu zimeenda kiurahisi, nililia mle chooni kama mtoto mdogo.Baada ya hapo nikatoka kwa hasira chooni ili niondoke zangu niachane na hao shwaini .Nimetoka fasta chooni nikashika kitasa cha mlango wa kutokea room nikasikia li demu limoja limeamka linasema "Shemeji supu".Nililiangalia kwa hasira kisha nikajibu bila kujijua "Supu mama yako[emoji15] " kisha nikaondoka zangu.
sirudi mjini ng'oo!
Olehale nkoyiMjini hakufai mkuu endelea kulima korosho tu
Hahahaha....Ilikua majira ya jioni nilipotoka nyumbani kwetu mtwara kuelekea dar es salaam.Kuna demu Fulani ambaye tulisomanaye shule ya msingi jina lake Monica nilikua namzimia mno hasa kwa uzuri wake pamoja na tabia ya uchangamfu ila sikuwahi muambia kwamba namtaka.Ni miaka mingi mno ilipita bila mawasiliano naye hadi ilipofikia mwezi wa tisa mwaka jana nilipopata contacts zake na nikaambiwa yupo chuo kimoja dar es salaam anasoma masuala ya tourism and hotel management.
Baada ya kuwasiliananae kwa wiki kama mbili mfululizo, basi tukapanga niende dar nikamsalimie na mimi nikaona itakua ndio chance ya kumueleza ya moyoni.
Basi siku ilipofika(ilikua jumamosi) mwanaume nikaingia dar kisha nikaenda kwa wakala nikatoa sh 60 elfu nikiamini tutakula bata na nauli ya kurudia itabaki kwani ni nyingi sana kwa watu ambao hatutumii pombe.Baada ya hapo nikamvutia waya tukutane akaniambia kua atachelewa maana wanakipindi cha usiku kinaanza sa 2 hadi saa 4 usiku , ivyo nikaenda kupoteza muda kwa mshkaji wangu maeneo ya mwenge nikisubiri saa 4 ifike.
Muda ulipofika akanipigia simu tukutane makumbusho nami nikafanya ivyo.Nilipofika sikuamini macho yangu maana alikua na wenzake watatu na wote wamevaa viskirt vifupi mno kama wale wadada wanaojiuza itigi na kaumba pale morogoro.nikajipa moyo kwamba huenda Monica ameadapt tu mavazi ya mjini ila tabia yake bado ni njema.Kwakua yeye ndio mwenyeji wangu nikamuuliza anachagua twende wapi ili tukazungumze akaniambia kuna sehemu moja mitaa ile inaitwa "maisha basement" nami sikutaka kuonekana mshamba nikasema kweli huko "Itapendeza".
Tulipofika mlangoni inabidi kulipia kiingilio kuuliza ni kiasi gani wakasema elfu 10 ,hapo jumla tupo watu 5.Nilitamani nikimbie maana mfukoni kutoka kwenye ile 60 nilikua nimebaki na kama 55 elfu.nikitoa iyo 50 na hapo hatujaingia ndani kunywa soda[emoji23] [emoji23] .Nikiangalia huku na huku watoto wamenizunguka na vinguo vyao wakinipepea kama doctar shika kwenye mnada wa nyumba za lugumi[emoji23] [emoji23] [emoji23] .Ikabidi nitoe tu wakashangilia shemeji shemeji shemeji[emoji23] [emoji23] huku Mimi akili zimenivuruga hata sijui huko ndani itakuaje namimi ni shemeji yao kwa nani maana kila mtu ananita shemeji hadi monica.Basi kwa bahati mbaya mno(ambayo kwa mle ilikua bahati nzuri),mle club kuna wakala wa mpesa,tigo pesa n.k ivyo nikachomoa elfu 25 ivi nikiamini itatosha.Tukaenda moja kwa moja kaunta kuchukua vinywaji hapo ndio nguvu ziliniisha,yaani wale watoto nahisi walinipania maana kila mmoja aliagiza Heineken. Hapo mimi ikabidi nisioneshe ushamba wangu nikasema namimi iyo iyo[emoji23] (hapo sijawahi kunywa hata siku moja).kuuliza bei naambiwa kila moja mle club ni elfu tano ivyo ile 25 yote ikateketea kwa round moja aisee nilibanwa hadi na haja kubwa[emoji31] .nilipoanza kunywa niliona ina uchungu Fulani lakini nikawa najikaza ili nisichekwe ,basi nikawa nakata ya kukata ili nionekane mzoefu kumbe ndio naprove ushamba wangu.Baada ya kumaliza ile chupa nikapata mzuka wa ajabu ambao sijawahi upata maishani nikaingia dancing floor nikacheza hatari nikawa navamia vamia mademu wa watu ovyo ovyo hadi wakata wanifumue wananchi wenye hasira Kali.Nikaenda kwa wakala kwa lengo la kutoa laki moja ili kama bata na iwe bata,kumbe kidem kimoja kati ya vile kinanifata kikanishika begani nikiwa dirishani kwa wakala kikaniuliza shemeji unatoa sh ngapi? Nikakiambia "laki moja".kikanicheka kwa dharau alafu kikaniambia mbona ndogo ivyo au unataka ukalie chips?Mda huo nimeshapiga bia yangu moja kichwani imepanda nikasahau kabisa kwamba pesa izo ni za mtaji wa korosho.Nikaona nisijishushe mbele ya watoto wazuri basi nikatoa laki 3 kabisa.kile kidemu kwa nyodo eti kikasema "hapo nafuu"[emoji23] [emoji23] (mambo mengine yanauzi ila inabidi wakati mwingine mtu ucheke tu).basi tukaendelea kucheza na kunywa huku wazo langu baada ya kunywa likawa sio kuongea na Monica kuhusu kumtaka Bali kumtafuna yoyote kati yao usiku ule.Nilipo maliza bia ya pili tu nikaacha kuelewa yote yanayoendelea zinazofata nilikua nakunywa tu kama maji hadi nilipopitiwa na usingizi.
Nimekuja kushtuka mida ya saa nne asubuhi nimelala chini kwenye tires katika chumba kikubwa.nikashtuka ghafla nikasimama, nikawaona Monica na rafiki zake bado welala kwenye kitanda huku wamechoka mno hapo ndio nikagundua tupo kwenye hotel ya ghalama kwasababu ya mazingira ya mle ndani.Nikamwamsha monica kumuukiza tumefikaje pale na nani kalipia chumba akasema mimi mwenyewe ndio nilimkabidhi wallet na nikamwambia atumie anavyotaka kwani nampenda ivyo akaona tuje hotel na alilipa laki na nusu(pombe sio chai).Nikamuuliza
kwanini wao walale kitandani alafu Mimi chini akaniambia eti nilisema Mimi ni mwanaume popote kambi ivyo wao wajinafasi(ugentlemavi).yani yote hayo sikumbuki kabisa.Nikaangalia message kwenye simu nikakutana na miamala ya hatari,nikamwomba wallet yangu nakuta haina kitu.Nikaenda toilet fasta maana nilihisi kuharisha.nilipofika nikajikamua[emoji21] hakitoki kitu.Nikaanza kukumbuka nilivyozipata izo hela kwa tabu alafu zimeenda kiurahisi, nililia mle chooni kama mtoto mdogo.Baada ya hapo nikatoka kwa hasira chooni ili niondoke zangu niachane na hao shwaini .Nimetoka fasta chooni nikashika kitasa cha mlango wa kutokea room nikasikia li demu limoja limeamka linasema "Shemeji supu".Nililiangalia kwa hasira kisha nikajibu bila kujijua "Supu mama yako[emoji15] " kisha nikaondoka zangu.
sirudi mjini ng'oo!
Tumia pesa ikuzoee😀Ha ha ha... pesa makaratasi. .. Hasara Roho!
Rafiki hapa kama umeniacha vile? [emoji12] [emoji12]Nihongwelelia lakini????
Nakerai,.nilikuwa namsalimu tuu mleta mada kilugha cha mtwara hicho shosti...Rafiki hapa kama umeniacha vile? [emoji12] [emoji12]
Nimecheka hatari , nami nitaleta yakwangu hapa jamvini.Ilikua majira ya jioni nilipotoka nyumbani kwetu mtwara kuelekea dar es salaam.Kuna demu Fulani ambaye tulisomanaye shule ya msingi jina lake Monica nilikua namzimia mno hasa kwa uzuri wake pamoja na tabia ya uchangamfu ila sikuwahi muambia kwamba namtaka.Ni miaka mingi mno ilipita bila mawasiliano naye hadi ilipofikia mwezi wa tisa mwaka jana nilipopata contacts zake na nikaambiwa yupo chuo kimoja dar es salaam anasoma masuala ya tourism and hotel management.