Masikini Mange Kimambi

Wewe km mwanaume rijali unaejiamini kwanini unaogopa kujibu PM? Ndio maana nitakua sijakosea kukuita unajinsia Ke yaan hata jinsia Ke wanajibu PM wewe ni shoga. Kaa mbali na mimi kuanzia sasa
 
Wewe km mwanaume rijali unaejiamini kwanini unaogopa kujibu PM? Ndio maana nitakua sijakosea kukuita unajinsia Ke yaan hata jinsia Ke wanajibu PM wewe ni shoga. Kaa mbali na mimi kuanzia sasa
Aisee! Hivi kwanini ni mgumu kuelewa mkuu? Nimekwambia acha kureply, unarudi tena kutafuta attention yangu, mimi sio baba yako, sawa?

Sijibu ujinga wako pm sababu hauna maana, point ni ku-argue hapa kila mtu aone, hii ni public forum. PM unataka kuniambia nini aisee? Unajua ni mafala pekee ndio wanaofuata wanaume wenzao PM? Au wewe ni mmoja wao? Maana unasound suspicious kinyama.

Sasa meza Zyprexa, kaa chini ulie umalize maumivu na acha kunililia. Muda mwingine nitakuwa makini kunotice vichaa, haki ya nani. Hii discussion ya kipuuzi iishie hapa. Now, get out of here!
 
Mkuu mqnge n shujaa sema masikini watanzania wamemwangushabkwa uoga wao na wataendelea kiwa madikin milele maana wahuni wameshinda
 
πŸ–•πŸ½
 
Watanzania wengi wanaishi maisha ya kikondoo, yaani wamekubali kuburuzwa tu na watawala wakiona ndio njia sahihi ya wao kuwa salama maishani mwao..

Mfano mzuri wa hao makondoo ni wewe hapo, japo akilini mwako unajiona uko smart, lakin kihalisia wewe ni choko tu.

Kitendo cha wewe kuepuka kuisema serikali kwa maovu inayotufanyia eti hili usiwe next victim wa utekaji, tafsiri yake ni kwamba umekubali kuishi maisha yoyote yale ambayo serikali yako itakupangia...!!

Leo hii serikali hii dhalimu hata ikikuletea tozo ya kichwa hautakuwa na pingamizi lolote, kisa unalinda usalama wako..

Leo hii serikali yako hata ikikuongezea kodi kwenye kila bidhaa unayotumia halafu isikuletee hata huduma ya maji nyumbani kwako, wewe hautathubutu hata kufungua domo lako kisa unalinda usalama wako.

Leo hii wewe ukishuudia mapolisi waliotumwa na mafwele wanamteka mtu wako wa karibu, hautathubutu hata kupasa sauti kumuokoa eti kisa tu unalinda usalama wako.

Yaani unaona kuishi katika misingi ya uoga na unafiki ndio njia sahihi ya kukufanya uwe salama, aisee ovyo sana wewe jamaa.

Ndio maana nikasema wewe kama una watoto, basi hao watoto wamepata hasara kubwa sana, maana huna sifa za kuwa mwanaume wala baba choko wewe.

Ni dhairi hao watoto wako nao pia watarithi hii culture ya kipumbavu ya uoga na unafiki ukiwaaminisha kuwa ndio akili, halafu huko mbeleni wanakuja kuwa watu wa ovyo kama wewe.

Yaani mwanaume mzima unakili kabisa eti "siwezi kubadilisha kitu chochote, ni heri nikae kimya tu hili nibaki salama"....wewe jamaa ni msen.ge sana, na hiyo mboo ni heri uikate kisha wampe gigy money halafu ile ya Gigy money wakupe wewe.

Halafu ulivyokuwa dunderhead unasema eti hauko tayari kwa matusi na wakati hapo umeniita mimi "bastard"...

Hivi unajua hata unachokiandika kweli mbwa wewe? Au unaandika ilimradi tu neno limekuijia kichwani?

Kati ya sisi na wewe nani kichaa hapa? Wewe ambaye haupo tayari kukemea wauaji,wafiraji na majizi eti kisa tu unaogopwa kupotezwa au sisi ambaye angalau tunapaza sauti zetu kupunguza matukio haya?

Wewe sio tu kuwa ni kichaa, bali una sifa zote za ussenge, na mara nyingi watu wa dizaini yako mnakuwaga na historia ya kuwahi kufirwa kwenye maisha yenu ya nyuma.

Mwanaume kamili hauwezi kuwa na roho nyepesi na mindset ya kipumbav hivi eti tukae kimya hatuwezi kubadilisha chochot.. wewe jamaa utakuwa umelelewa na shoga wewe sio bure.

Kuhusu swali lako la mimi kuwa tayari kufa au kupoteza kila nilichonacho kwa ajili ya kupambania haki.. jibu ni yes niko tayari, ulitegemea na mimi ntakuwa na roho ya kimama kama yako fala wewe.

Narudia tena, kama una watoto basi wamekula hasara kuwa na baba choko kma wewe ni heri wangezaliwa na mtu kma Mwijaku.
 
Mimi namuona Ke tu huyo yaan Mchumba hata km ana ndevu za steel wire mchumba tu huyo asikuumize kichwa
Huyo jamaa wa kujiita makaa ya mawe bila shaka atakuwa amelelewa na msimbe na ndio maana ana roho ya kimama sana japo anajitahidi kuandika maneno mengi kuficha udhaifu wake msengΒ£ huyo.

Mwanaume aliyelelewa kwenye mazingira yanayomuandaa kuwa mwanaume halisi hawezi kuwa na akili za kindezi kama huyo fala ambaye anaona sululisho pekee la watu kukabiliana na hii hali ya kuogofya iliyopo nchini kwa sasa ni kukaa kimya kabisa bila kuisema serikali hata kwa bahati mbaya haijalishi hata kma inakufanyia maovu kiasi gani...

...sasa ni akili hiyo? Si upumbav kabisa huo, maana hapo unawapa hawa wadhalimu kibari cha kufanya lolote wanalotoka, maana wanajua hutafanya kitu.
 
Kwanza nakubaliana na wewe 100%, kale kadada kembamba kabaya kanaenda kuaibika vizuri tu........tena nafikiri litumike neno sahihi, 'kuumbuka'. binafsi nililijua hilo mapema tu. Watanzania sio wapumbavu au wajinga wa kuwapelekapeleka tu kindezi ndezi hususani linapokuja suala la utulivu wao wa kinchi na vizazi vyao. Wanaweza wakakuitikia kumbe wanakuchora tu.

Nitakusaidia kuweka sawa sehemu Moja ambayo haujataka kusema kuhusu kufeli kwa maandamano hayo na kuumbuka kwa yule ka**ba. Ukweli ni kuwa Watanzania Bado hawajaona sababu ya maana haswa ya kuandamana. Wanaona kuwa mtu ukijituma kufanya kazi unakuwa milionea ndani ya dakika tu bila kujali unatoka upande gani wa nchi. Wanaona kuwa mtu uko huru kutoka sehemu Moja kwenda nyingine bila kikwazo chochote kile na huko unapokelewa na unafurahi na wenyeji bila shida yeyote, tena na kutaniana kabisa. Nchi zinazohangaika, unakuta hata hilo hakuna......ukabila na ukanda vimetamalaki. Wanaochochea maandamano kutokuwapo kunawatafakarisha wengi, Kila mmoja anabaki kujifanya msanii tu wa kuyanakshi mitandaoni basi. Viongozi wa maandamano kuwa na passport za ulaya Huku familia zao pia zikiishi huko na kusoma zinawatafakarisha sana sana sana......akili inabaki kumkichwa.

Hakuna ,aandamano Tanzania!!
 
Blah blah blah! Crying as the little
bitches as usual, did I hurt your feelings? See? Those bastards died for nothing, they didn't change anything, they'll disappear quietly leaving their loved ones traumatised. You're below my foot, stupid beyond measure, evolve a bit and learn to read the pitch.

Kuonyesha jinsi nilivyokuzidi akili ni kwamba najua umecopy style ya mwandiko wangu wa kuandika neno la kiswahili na kiingereza kutoka kwenye comment yangu ya 25/10/2025 kuhusu "risasi za plastiki "rubber bullets." Naandika hivyo sababu naamini watu wengi hawajui kiingereza, kama wewe. Inavyoonekana kabla ya hapo hukujua hata rubber bullets ni nini. Nina uhakika sababu key words "rubber bullets" imetumika mara 4 ndani ya JF nzima mwaka wote huu, nikianza mimi alafu wewe mara mbili kati ya leo na jana, that's not a coincidence. You ought to thank me for that! Damn pathetic idiot.

Now, get out of here!
 
Wale walionipinga, kuniita muoga na kunitukana kiko wapi leo? Not a pointless, fruitless, life or death situation? I guess I'm not paranoid after all. I'm alive.

It was an expected devastating outcome. A sad one, really.

Reconnaissance, know when you're beaten, update your plans accordingly, retreat, and live to fight another day.
 
No body died in vain during civil unrest.
Kuna uoga na ujumbe umewaingia waliokusudiwa kufikishiwa ujumbe na waandamanaji.
Kuna upuuzi na unyama utapungua, watu watasikilizwa kiasi flani.
Uzembe na ubadhirifu umewekewa speed governor kiasi fulani. Tutaanza kuona uwajibikaji baadhi ya sekta au taasisi.
Mfano ujinga na mateso ya mradi wa mwendokasi, na matukio ya utekaji yatapungua baada ya muda mfupi ujao.
Watu wangefuata ushauri wa waliosema wasiandamane kusingetokea mabadiliko hayo bali hali mbaya na utekaji vingeongezeka zaidi ya kabla ya 29/10/2025.
 
That wasn't the goal though, was it? Walidhani wataleta mabadiliko makubwa ya kumuondoa madarakani through sheer force, kitu ambacho hakiwezakani kwa sasa.

Mabadiliko hayo madogo ni insignificant mbele ya maisha ya raia wa Tanzania. Njia salama zaidi zipo na zingeleta mabadiliko kama hayo ambayo bado hayajafika na bila shaka yataondoka immediately baada ya muda.

Ukilinganisha na sasa hivi wanajua wameshawatia wananchi wengi uoga wa milele. Zile video zinatisha.
 
Hukuwasikia waandamanaji wanasema waachiwe Polepole, Lissu na wengine walioshikiliwa au kutekwa?
Hilo la kuondoa utawala ilikuwa last option au least demand hapo mwanzo ilaa baada ya kuona wanashambuliwa wakitoa maoni yao au wakiandamana likajitokeza.
 
Hukuwasikia waandamanaji wanasema waachiwe Polepole, Lissu na wengine walioshikiliwa au kutekwa?
Hilo la kuondoa utawala kulikuwa last option au least demand baada ya kuona wanashambuliwa wakitoa maoni yao au wakiandamana.
Hayo maneno yako wewe mkuu. Inaonyesha ni jinsi gani hawakujiandaa sababu kila mtu anasema lake. Ninavyojua mimi walitaka kupindua Serikali, kama kilichotokea kwenye nchi nyingi hivi karibuni.

Hata hivyo, release ya viongozi hao bado haina thamani sawa na maisha ya Watanzania wengi. They miscalculated.
 
Sasa hivi unaeleweka ndugu kabla walidhani unawatisha
 
umebaki uchi mkuu tena uchi mkubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…