Mkuu unazingua ujue 🤣🤣🤣Namuhurumia sana Mange Kimambi kwa aibu atakayopata kutoka kwa Watanzania.
Binafsi natamani maandamano ya amani yawepo reforms zifanyike kusudi huko kupiga kura kuwe na maana kuliko maigizo haya ya kila siku ya kwenda kupiga kura wakati mshindi anajulikana tayari.
Kwa nguvu alizotumia Mange Kimambi nasikitika kusema watanzania wata mdisappoint na hatokaa aamini macho yake.
Kwa hali ilivyo huku uraiani hakuna mwenye nia ya kuandamana na ila kuna asilimia ndogo sana ya watu ambao watapiga kura.
Asilimia zaidi ya 70 tumeshakubaliana na hali ,na hiyo siku watu tutaichukulia kama zilivyo siku nyingine, hatupigi kura ila kuhusu kuandamana itategemea pia japo si rahisi kufanyika.
Nikikumbuka maandamano ya UKUTA yalivyotikisa kipindi kile na hakuna Mtanzania hata mmoja aliyejitokeza kuandamana licha ya kujazana upepo wa kuandamana ninadhani hata hii tarehe 29 mambo yatakuwa ni yaleyale.
Watu hatuwazi kabisa kuhusu uchaguzi kila mmoja yupo busy na shughuli yake na hatuna habari kabisa kuhusu huo uchaguzi feki.
Pole sana Mange, watanzania sisi ni kama kenge hatusikii mpaka damu zitutoke masikioni .
Ah yes, nilivyoona tu comment yako niliexpect kwa asilimia 100 lazima utaniquote.Nakuona muuza Uoga umekuja kutuuzia uoga
Mtaa upi huo?Naona mko busy kutest mitambo .
Tabu bado iko p
Mkuu unazingua ujue 🤣🤣🤣
Yaani kwa namna hali ilivyo hivii ulitegemea huo utafiti wako uje na matokeo gani zaidi ya hayo?
Hujawahi kukutana na kale ka clip cha mtu anamuuliza dogo utaandamana nae akajibyje? 🤣
Ile ndiyo code ya kitaa ili wasije wakadajwa kabla ya siku ya tukio .
Kaa kwa kutulia .
kitaa kwa moto nihatari jombaa
Kwa hio wewe unamaanisha kuteka na kuua kwako sio suala linalokuumiza kichwa kabisa sababu haijaingia kwenye upande wako?Ah yes, nilivyoona tu comment yako niliexpect kwa asilimia 100 lazima utaniquote.
Mimi siuzi uoga, bali nagawa uhalisia kwa moyo wa huruma. Kubadilisha uongozi kwa nguvu, hata wakifanikiwa, hakutobadilisha maisha ya kila mtu immediately au inaweza isitokee kabisa. Wa chini watabaki chini, ikiwemo wewe. Watakaofaidika ni walio kwenye nafasi husika pekee. Hivyo mwananchi wa kawaida hana sababu yoyote kwa sasa ya kwenda kujiharibia kidogo alichonacho.
Kinachokutofautisha wewe na masikini wa chini kabisa ni delusion na naivety.
Mimi napuuzia kila kitu kisicho na mwelekeo wala mashiko. Huwezi sema chochote zaidi ya hicho sababu uhalia unauma.Wewe ni mpuuzi.
Bakia na unachokiamini ukiweza hamia upande ule waambie wakupe bunduki uwasaidie kuuaMimi napuuzia kila kitu kisicho na mwelekeo wala mashiko. Huwezi sema chochote zaidi ya hicho sababu uhalia unauma.
Kuteka na kuua ni mambo ya kulaaniwa. Lakini mimi kama mmoja ya wananchi average wa Tanzania ambao ni majority. Nina mengi sana ya kuniumiza kichwa, kwamba hata nikiachana nayo kwa saa basi maisha yangu na ya wengi wa karibu hayatakuwa tofauti na kifo. Hivyo natetea na kulinda kilicho ndani ya uwezo wangu. As everyone should.Kwa hio wewe unamaanisha kuteka na kuua kwako sio suala linalokuumiza kichwa kabisa sababu haijaingia kwenye upande wako?
Upo tayari kutekwa na kuuliwa na lisijulikane lilipo kaburi lako?Uko tayari kuumia, kufa au kupoteza kila ulichonacho leo ili kuleta mabadiliko?
Hapana, sipo tayari, napenda sana kuishi plus Ugali na Maharage ni moja ya kitu bora maishani mwangu. Na hicho ndicho kinachonifanya nilinde kilichondani ya uwezo wangu. Kwa kuishi kimya kwa amani nikifanya yanayonihusu, badala ya kujitangaza mitandaoni na kujihusisha na mambo ya serikali na viongozi ambayo impact yake kwangu in general is beyond negligible currently.Upo tayari kutekwa na kuuliwa na lisijulikane lilipo kaburi lako?
Hilo swali lako ndio nililokuuliza mwenyeweSasa nijibu swali langu: Uko tayari kuumia, kufa au kupoteza kila ulichonacho leo ili kuleta mabadiliko?
Soma swali lako then compare, usipende kuuliza maswali ya kijinga ambayo wewe mwenyewe unayajibu kwa kigugumiziUpo tayari kutekwa na kuuliwa na lisijulikane lilipo kaburi lako?
Una utoto mwingi sana, sishangai kuona ukidhani unaweza leta mabadiliko.Hilo swali lako ndio nililokuuliza mwenyewe
Soma swali lako then compare, usipende kuuliza maswali ya kijinga ambayo wewe mwenyewe unayajibu kwa kigugumizi
Mboni unaniongelea km nimekuagiza uniongelee, sio kila kinachonihusu nikwambie wewe baki na unachokiamini ndio maana nimekwambia hamia upande ule waambie wakukabidhi bunduki uwasaidie kuua, hujanielewa nini?Una utoto mwingi sana, sishangai kuona ukidhani unaweza leta mabadiliko.
Good. Sasa kama haupendi kufa, kaa kimya, kula Ugali wa mama hapo nyumbani kwa amani na uache kupiga kelele mitandaoni kuhusu mabadiliko wakati ni wazi hakuna kitu unaweza fanya zaidi ya kujipotezea muda na kuhatarisha kutekwa, kuuliwa na kutupwa.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Unataka mabadiliko lakini unauzia watu hofu ili wasiandamane kudai hayo mabadiliko,lazima utakuwa mwehu wewe
Unaona? Haujui unachokitaka, you're confused na unashabikia chochote kilicho mbele yako.Mboni unaniongelea km nimekuagiza uniongelee, sio kila kinachonihusu nikwambie wewe baki na unachokiamini ndio maana nimekwambia hamia upande ule waambie wakukabidhi bunduki uwasaidie kuua, hujanielewa nini?
Hongera kwa kujua utakufaje. Wewe ni bonge la kiazi. Kumbe hujui unaweza ku play low key na ukafa mapema tu! Tena kwa kifo cha aibuUna utoto mwingi sana, sishangai kuona ukidhani unaweza leta mabadiliko.
Good. Sasa kama haupendi kufa, kaa kimya, kula Ugali wa mama hapo nyumbani kwa amani na uache kupiga kelele mitandaoni kuhusu mabadiliko wakati ni wazi hakuna kitu unaweza fanya zaidi ya kujipotezea muda na kuhatarisha kutekwa, kuuliwa na kutupwa.
Optimisim is admirable. Mimi niko salama na hao viumbe wanyonya damu mkuu. Badala ya kupiga kelele mitandaoni na kujitangaza. Nalinda kilicho ndani ya uwezo wangu kwa kuishi kimya kwa amani bila ya kukosoa wala kuingilia mambo ya serikali au viongozi, ambayo impact yake kwangu ni ndogo sana as an individual currently.Hakuna ambaye hayupo kwenye hatari ni vile hujaingia kwenye kumi na nane za wahuni. Yule Niffer ameposti kama kichekesho wakamteka.
Unadhani kesho sio kwako? Unaweza kutoa mawazo ambayo kwako unaoma ya kawaida lakini kwao wakahisi ni hatari nakuhakikishia hutaamini.
Lazima kama jamii tuwe na taratibu za kukubaliana na kukosoana huku kutekana hakuna aliyesalama hata kama sasa hivi unanufaika.
Maandamano yetu ni tuwajue wasiojulikana watupe watu wetu wengi waliowapoteza
PumbafNamuhurumia sana Mange Kimambi kwa aibu atakayopata kutoka kwa Watanzania.

AiseePumbaf