Masikini M-Tizii na umasikini wake wa akili...

engmtolera

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
5,150
1,437
364274525.JPG

Tunaweza kujionea wenyewe jinsi tunavyoonewa,kama vile tu watuma ktk maamuzi yetu juu ya vitu vyenye maslahi na nchi yetu,huku kina kanumba wanatumiwa na wenye pesa,huku mdini hayatunufaishi,basi ni tabu kila sehemu

kwa hisani ya WWW.WAVUTI.COM
 
WaTZ tulivyo malofa tuwaendelea kuwachekea viongozi wetu
 
WaTZ tulivyo malofa tuwaendelea kuwachekea viongozi wetu

Mwl Nyerere alisema madini hayaozi huko chini,nasubiri hadi hapo vijana wangu watakapo kuwa na uwezo wa kuchimba wao wenyewe ndio waanze kuchimba,tuka mwona mjinga,haya sasa ni wa 3 africa kwa uwingi wa madini,lakini faida yake haionekani
 
Nawapa big up akina marwa, chacha, wambura, nchoka wao mavuno yakiwa mengi huvamia mgodi north mara! Big up
 
Mwl Nyerere alisema madini hayaozi huko chini,nasubiri hadi hapo vijana wangu watakapo kuwa na uwezo wa kuchimba wao wenyewe ndio waanze kuchimba,tuka mwona mjinga,haya sasa ni wa 3 africa kwa uwingi wa madini,lakini faida yake haionekani

Labda kwa vidole.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom