Masikini Kinana!!

Unasema masikini!!!
Umasikini wake uko wapi hapo tena?
Mwambie "Bravo"
 
Watu creative KHAA!
Atakufa kwa pressure sasa mzee wetu ebu mwacheni
 
Ukweli ni kuwa watu wamechoka na Wanasiasa Walafi!!!!!! Mimi napenda kumkumbusha Rais wangu juu ya tamko lake la wanasiasa kutojiusisha na Biashara huku yeye Mwenyewe akiwateua haohao hata baada ya Mda mfupi wa kutamka tamko lake anasahau kama alikemea.Kukubali kwake Kinana kuteuliwa kama katibu Mkuu CCM pia ni kosa, alipaswa pia kumkumbusha Rais kuwa unaniteua wakati ulitukataa sisi wafanyabiashara, jibu angelipata.
 
Hii ya kweli au ya kuchakachua!
watapata hasara sana hawa kama ipo bongo!
 
Ukimwona kinana weka mbali na.......malizia
 
nadhani ukinywa hii ukapita mbugani utaipata fresh
tembo hawatakuachia uhai.
 
Weka mbali na tembo pliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiizzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz
 
Wakuu naona sasa mlipofikia mnaitakia Jf mabaya kama yaliyoikumba "Ze Utamu"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…