Masikini kaka huyu

Yani unaingia kabisa unajua hapa ni positive.aisee haisimami kabisaaa.
 
Raha ya supu ukishakula nyama lazima umalizie na mchuzi
Na hapo ndipo wengi wanafeli
 

Majibu ya kaka kanionyesha tena kutoka hospital tofaut na yeye pia aamini kama hana
 
Last edited by a moderator:

Unajua mkuu kinachomuumiza kaka ni pale mwanamke analilia ngono..dawa hataki kunywa...kula hataki..tena mjamzito .kaka anaumia ..
 
Majibu ya kaka kanionyesha tena kutoka hospital tofaut na yeye pia aamini kama hana
Bado hujaniambia km ulishakaa nao wote wawili mke/mume wakakueleza. Ushauri nnaotaka kuutoa hapa ndo suruhisho la tatizo lao,hii ndo kazi yangu mimi,km unaongea na mtu mmoja tu ushauri pia utaishia upande mmoja,ntakuwa km nilikuwa naandika 8 kwenye maji!
 

Unajua mrembo hayupo tayar kwanza ajulikane anao kaka kunishirikisha ni baada ya kutaka kubakwa himo ndani ...kanishirikisha kama rafiki wa karibu tu kama kutoa kitu moyon hata wazaz bado hawana taarifa mpaka sasa
 
Akome kuzini kabla ya kupima VVU. Na hili liwe fundisho kwa ambao hawajaingia katika ndoa. Wasichepuke kupima kama wanataka kuepuka virusi vya ukimwi.
 
Aaaa Miss chagga tafadhali kama huyo mwanamke kawa mkali kiasi hicho na gubu basi huyo anajijua tabia zake tangu mwanzo na usikute yeye ndio alishauri wasipime kabla ya ndoa, nilichokiona hapo ni mama amekusudia kumuambikiza mumewe, kwa hali hiyo hata asikubali kulala nae, no sex kabisa hapo, hata kama wakipewa namna ya kukutana kimwili bado haitasaidia, huyo mama analenga amwambukize wafe wote. Amlinde mtoto tu asijepata virusi, aishi nae bt sex no.

Na kipindi hiki atulie tu asifanye jeuri yoyote ya usaliti, hadi hapo baadae atajua nini kifanyike, walau ipite hata miezi kadhaa ili amwangalie kwanza huyo mkewe maana hamtakii mema.
 
Unajua mrembo hayupo tayar kwanza ajulikane anao kaka kunishirikisha ni baada ya kutaka kubakwa himo ndani ...kanishirikisha kama rafiki wa karibu tu kama kutoa kitu moyon hata wazaz bado hawana taarifa mpaka sasa
Me hapo nakuachia ww,wanaume wanambinu nyingi sana za kutongoza,huenda amekueleza yote hayo ili umuonee huruma pengine baada ya kujaribu mbinu za kawaida zikafail. Au umemuonjesha akanogewa,anatafuta njia ya kumuacha mkewe aambatane na miss chagga km issue ingekuwa ya kifamilia yaani ungekuwa pia na maelezo ya wifi yako,ningetoa ushauri ili ukawaambie!
 
Last edited by a moderator:
asante mkuu kwa ushauri loh .. kawa mkali kuliko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…