Ndoa za kikristo unajua tena wif hataki kusikia wala kuelewa
nimeamini hakuna kiumbe kipole duniani nikikumbuka binti alivyokuwa kapole na mstaarabu lakini leo kawa kama mbogoki ukwel kwa hizo vurugu za huyo mke anaonekana dhahir kua anataka na mumewe kuupata ili wawe sawa kwahyo hata kwa kutumia condom anaeza pia kumnga'ata au vyvyte ili apate contact ya damu
ishaur wangu aendlee kukaa seblen na aende kwa wazaz wa pande zote mbili au kama mke ana ndugu mkubwa tofaut na wazaz amuelezze hiyo case jins ilivyo.
kingne asimuache mkewe kwa faida ya mtoto alie tumbon kwa maana anaweza akazaliwa bila maamumbikizo na pia ili mama asije akamdhuru mtoto
ila kwa situation yake hil swala ni gumu sana atumie busara zaid kuliko hasira.
kiukweli kuna wanume wanamaamuzi magumu ,, nitamshauri akiweza sawaKwani nilazima kuishi na mtu!!? tena ukichukulia huyo kaka yako kashaingiwa nahofu ya kifo unadhani kuna mapenzi tena hapo!!? acheni mambo ya ajabu ya kulazimishana kufa! tena kama ni mimi natafuta mwingine chap tunapima alafu nampa kibadamo ya nguvu!
walishauriwa na moja ya njia ni kutumia kinga binti hataki hilo swala la kinga anasema ni dhambikwani walipoenda kupata ushauri si walishauriwa na jinsi ya kukutana kimwli wakiwa katika halo hiyo?
namna ya kulishinda ndiyo tunaomba msaada rafiki yangu kawa kama chizi ni analalamika maisha yake kaharibu
du miss chagga alikuwa lupango....back to the topic asikubali hata kwa kondom...huyo anaweza hata kumwambukiza kwa nguvu...you never know anaweza hata kumg'ata!apige chini aanze upya kama mtoto akizaliwa atatoa matumizi...miss chagga pole sana na jela
Ashikilie msimamo wake bila condom hapana ...
walishauriwa na moja ya njia ni kutumia kinga binti hataki hilo swala la kinga anasema ni dhambi
jamaa anania ya kuvumilia ila binti ana makeke ya ngono mnohuyo mwanamke chenga tupu na pia ni muuaji..atalazimishaje mapenzi bila ndom ilhari anajijua kuwa ni mwathirika..tena uenda alikuwa anajijua ameathirika toka kitambo sema akaamua kukaa kimya tu...huyo jamaa akaze alee hiyo mimba zen dem akijifungua asepe..ila cha msingi asitelekeze mtt tu..ni damu yake hiyo
worse enough bint pia hataki kutumia vidonge anasema Mungu atamponyani mtambo huyo binti yaani kutumia kinga ni dhambi lakini yeye kuuleta ukimwi ndani si dhambi?waende kwa wazee Wa kanisa watapata muafaka tu na kuwe na pande mbili
sawa mkuudu miss chagga alikuwa lupango....back to the topic asikubali hata kwa kondom...huyo anaweza hata kumwambukiza kwa nguvu...you never know anaweza hata kumg'ata!apige chini aanze upya kama mtoto akizaliwa atatoa matumizi...
kwa jinsi nnavyomuona huyo dada amekua frastruated sana kutokana na hiyo hali ndio maana amebadilika inahtajika counseling kubwa sananimeamini hakuna kiumbe kipole duniani nikikumbuka binti alivyokuwa kapole na mstaarabu lakini leo kawa kama mbogo
yeye anasema anataka haki yake ya ndoa swala la VVU anasema ataponywa na Mungu hata dawa hanywi .. ujue hapa hata mtoto tumboni anamtesa kile kiumbe na kinaweza kufa hanywi dawa kula hataki vizuri ngono ndiyo anatakasasa huyo mwanamke anataka kumwambukiza VVU huyo kaka au? Huyo dada hana utu hata kidogo, ingekua mm nafukuza maaana yeye hamtakii mema mwenzake