Mwita Maranya
JF-Expert Member
- Jul 1, 2008
- 10,565
- 7,988
Edward Ngoyai Lowassa,amepata aibu ya kufungia Mwaka pamoja nguvu yote ilotumika kumuandalia mkutano jamaa kapata watu kiduchu kuliko hata mkutano wa AFP!!! Jamaa anatia huruma sana san!!!a n
muda bado Kampeni ni saa 10:00 jioni wacha watu wapange viti kwanza, ingawa si halali kumkampenia mkwe wake lakini kwa CCM watajaa tu
weka picha tuone hizo za saa hizi 1:39
waungwana msisahau kutupa live akiwa jukwaani bila kumsahau nape.!
Mkuu, Usinikumbushe miye mambo ya Enzi hizo!
Wakazidi kumchimba, Baba mwenye homakali
Baba yetu watufumba, Fumbo hili la akili
Akili yetu nyembamba, haijajua methali.
picha kusaport jamani but kusema bila evidence inaweza kuwa uzushi tuuu!
Lowasa ndo anatoka zomea zomea na V sign ya kutosha, tatizo la magamba wamemwandalia mkutano karibu na ngome ya CDM
baadhi ya magamba yameanza kurudi dar.mkuu ninapicha za msafara wa lowasa ukizomewa na wakazi wa kikatiti hakika leo ccm imevuna aibu hapa arumeru...nitazirusha nikifika kwenye pc...wameru wasema hawataki mafisadi
Mtu unapoleta uzi ambao unaitaji picha alafu hauna picha akina Tomaso kama sisi tutaaminije?
Aibu ya kujitakia utu-Uzimani!
Mwenye nchi mwenyewe Ba-Mwanaasha kagwaya...Kaja jana Arusha kwa kuingia Usiku, na saa 5 LEO kajiondokea zake kimya kimya kurudi Dar!...Watchdogs wake weshampa Live kuwa asithubutu kukanyaga Arumeru, maana washanusa hali halisi!...Yeye anajifanya shababi...Poooof!
mpigie simu nape akwambiesitaki kuamini maneno haya mpka nione picha...
Edward Ngoyai Lowassa,amepata aibu ya kufungia Mwaka pamoja nguvu yote ilotumika kumuandalia mkutano jamaa kapata watu kiduchu kuliko hata mkutano wa AFP!!! Jamaa anatia huruma sana san!!!a n