Masikini Dogo Pateni

Masikini Dogo Pateni

Bongotunacheza

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2018
Posts
1,387
Reaction score
3,158
Nyota ndo ilikuwa inaanza kuwaka. Mara No Reform No Reaction mara Gwajimanization. Mara Iran vs Israel.

Dogo ana post programs zake kiroho safi, watu wana comment No reform no Reaction.

Halafu watu wazima kabisa.

Wabongo mnamfanyia mbaya huyu mtoto. Mlisha muaminisha mnampenda then ghafla tena " No Reform No Reaction"
 
Aliamua mwenyewe kujiegemeza kwenye siasa.
Dogo-Paten-Mama-Samia-768x804.jpg
 
Nyota ndo ilikuwa inaanza kuwaka. Mara No Reform No Reaction mara Gwajimanization. Mara Iran vs Israel.

Dogo ana post programs zake kiroho safi, watu wana comment No reform no Reaction.

Halafu watu wazima kabisa.

Wabongo mnamfanyia mbaya huyu mtoto. Mlisha muaminisha mnampenda then ghafla tena " No Reform No Reaction"
Amekutana na nyakati mbaya....Kila Taifa linataka Reforms.

Irani imewapa Raia wake kila kitu muhimu ikawanyima Uhuru wa kutoa maoni.
Wasaliti wamejaa ndani ya Nchi hiyo hadi ndani ya vyombo vya ulinzi na usalama
 
Facts
 
Back
Top Bottom