Masikini CHADEMA- Kwishnei

Ama kweli sikio la kufa alisikii dawa hivi bado Tz kuna watu mabwege kama wewe ? Alafu unajiita mzalendo .wabunge wa ccm wote ni wanafiki kama nape na dhaifu kama jakaya.

Kweli ujinga unaotokana na ukipofu uliosababishwa na Chaga Development Manifesto ni mbaya kuliko mauti. Hivi kama nyie nigreat thinkers kama mnavyojiita kwanini mnapinga kwa matusi na kejeli badala ya hoja!!!!!!
 
Breini konkasheni!
 

Nawasiwasi itakua ID nyingine ya mwenezi DHAIFU,, si anasemaga ana vua gamba anavaa UZALENDO... ameamua kuwa na ID mbili......
Too sad.
 

Duuh' kazi ipo, sasa ulitaka CDM wafanyaje?tujuze tafadhali.
 
Ni wazi kwamba maisha magumu yanayotokana na mfumko wa bei yamesababishwa na Serikali ya CCM, bidhaa zinapanda bei kipato ni kilekile kwa watanzania, mishahara imesimama, shilingi inashuka thamani, wanafunzi vyuo vikuu wanakosa mikopo na wengine wanaahirisha miaka.mama zetu wanajifungua katika mazingira magumu maana hata vifaa kwenye hospitali zetu havipo.YOTE HAYA yamesababishwa na ulegelege wa CCM maana ndiyo inayounda serikali.kushabikia CCM ni sawa na kushabikia wauaji maana maisha yanapokuwa magumu kuna watu wanakufa.mleta thread atakuwa ni miongoni mwa wanaonufaika na ccm abao ni wachache.siku zinahesabika kaeni chonjo.
 
Hii ndiyo mitaji ya CCM(Ujinga, umasikini, maradhi). Ukiwa mjinga lazima akili yako itakuwa finyu/nyembamba(upeo mdogo wa kufahamu jambo lolote) na hapo maradhi yakija ndiyo yanakutafuna kwa kasi ya ajabu kwasababu ujinga na umasikini umeshakutawala. J.K.N alikuwa anapiga vita vitu hivi vitatu lkn jamaa wakaamua kuvikumbatia(wakafanya mitaji) outcomes zake ndiyo hizi
 
Usiseme tu kama kasuku cdm haiwezi kukushnei kinyume chake ccm ndo inakushnei sababu wanajikaanga kwa mafuta yao wenyewe bajet unayosema imepita kwa kishindo ukae ukijua ni wabunge wa ccm wameipitisha kutokana na wingi wao na weng wao bila kufikiria itawasaidiaje wananchi wao wachache wa ccm waliokuwa wanaipinga walipewa paka vitisho na hao makada so nataka tu uelewe wananch tumechoka na tunataka maendeleo na uelewe kwamba moja ikikataa mbili itajaribiwa matokeo utayaona 2015.afu unajita mzalendo, umekosa haya zaid ya hao mafisad
 

hapo ndipo upeo wa akili yako kufikiri ulipoishia. mwana jf dhaifu hujadili hoja dhaifu!
 
Mzalendo K na Wana JF,
Acha kuleta Mzaa aka Kejeli aka Uchokozi kwenye mambo yanayomgusa Mtanzania na Tanzania yenyewe.
Kupita kwa Budget sio Tija, Je hiyo Budget ina Tija kwa Mtanzania, mmoja wapo ukiwa wewe ???
Pili ni Chama gani chenye Wabunge wengi Bungeni ?? Mambo ya Ndio Mzee yamepitwa na wakati.
My Take: Tuache Mzaa kwenye mambo ya Maana
Nawakilisha


 
mzalendo hufanani na maana ya hilo neno bali umefanana na lile gazeti lenye jina kama lako. Dhaifu mwili mzima wewe .
 
una laaaana ya wazazi wako nahisi ulizaliwa kipindi cha pepopunda
 

Kazi inaendelea! hakuna kulala, hata mkituhonga lakini bado hatutaacha!!
 
Wewe ni mtoa kula sio kupitia kura. Inaonyesha hata maana ya kura yako huijui. Unadiriki kushabika bajeti inayokuumiza? Ni aibu kwa mtanzania kuchekelea kifo

Hapana mie sio great thinker mie mlala hoi hata shule sijaenda!! Lakini ndio mtoa kura
 
Hivi mtoa mada hujui kuwa idadi ya wabunge wa cdm haifiki hamsini?
Hata kama unataka kusifia ccm ni vyema ukatumia kichwa kufikiri kuliko kukurupuka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…