masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,410
- 14,120
Wachovu ninyi.Hakuna kitu kama bajet mbadala. Kuna maoni ya kambi ya upnzani. Uko dhaifu
samahani mkuu naomba kujua chanzo cha ugonjwa huu ni nini hasa ??Ujinga ni ugonjwa mbaya sana.
Tupo wengi ila tuna kura moja kama wewe mwenye sura nzuri na akili muruaAkili yako ina sura mbaya kama avatar yako!
Silly Person!
Baada ya bajeti hii kupita kwa kishindo, CDM itakuwa imevunja rekodi ya kuwa Chama kinachosimamia mambo hewa yasiyokuwa kila kukicha, itabidi sasa wabadili jina!!! Napendekeza kiitwe CHAMA HEWA!!... bahati mbaya sana cdm kimeshindwa kukwepa hatima hii mbaya na mbovu..
Nani kawapa leseni ya kufanya biashara?Tulishasema CDM ni genge la wafanyabiashara wasiojua hata kulipa kodi na jinsi inavyokusanywa.
Kodi zenu indeed!Mnakula kodi zetu za bure tu Bungeni.
Baada ya bajeti hii kupita kwa kishindo, CDM itakuwa imevunja rekodi ya kuwa Chama kinachosimamia mambo hewa yasiyokuwa kila kukicha, itabidi sasa wabadili jina!!! Napendekeza kiitwe CHAMA HEWA!!... bahati mbaya sana cdm kimeshindwa kukwepa hatima hii mbaya na mbovu..
[hustahili kuwa mmoja wa waJF plse get out of this page]
Mkuu wewe usikonde nimekuweka kiporo kwa ajili ya ligi kuu,Nani kawapa leseni ya kufanya biashara?
Ni wajibu wa nani kukusanya kodi?
Kodi zenu indeed!
Nani kawapeleka bungeni?
Hizo kodi zenu wanazokula, wanaiba au wanapewa?
masopakyindi, ihurumie nchi yako na wahurumie Watanzania...yawezekana huna habari kuwa Chadema hawajawahi kukamata dola! Haijawahi kutokea popote duniani eti bajeti ya Upinzani ikajadiliwa bungeni, ni hapa Tanzania tu ambapo hata kwa akili ya kawaida, ujinga unaofanywa na Wabunge wa CCM unaweza kuvumilika na masopakyindi akashangilia...kweli, the country has gone to the dogs!
Mkuu wewe usikonde nimekuweka kiporo kwa ajili ya ligi kuu,
Not that I am slighting your contributions but like I said, ligi yangu nawe itachukua muda and I will go thru ALL your comments. Niachie kwanza nitafune hizi njugu za small time thinkers.
Sasa hapo hujaelewa kitu gani?Mkuu, samahani hujaeleweka vizuri, tafadhali fafanua hapo kwenye wekundu.
eee mungu baba nakuomba umponye huyu aliyeandika aliyeleta mada hii hapo juu pengne hajui anachokiandika ameenbaada ya bajeti hii kupita kwa kishindo, cdm itakuwa imevunja rekodi ya kuwa chama kinachosimamia mambo hewa yasiyokuwa kila kukicha, itabidi sasa wabadili jina!!! Napendekeza kiitwe chama hewa!!... Bahati mbaya sana cdm kimeshindwa kukwepa hatima hii mbaya na mbovu..
Wewe si tulipata ban wote au nikutaje mods waunganishe na hii id mpya?Hapana mie sio great thinker mie mlala hoi hata shule sijaenda!! Lakini ndio mtoa kura

ww ni hanis*.